Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Yaani wanawake mmerogwa?

Sasa kinachokurudisha hapo ni nini???
 
Nnachokiona,
Uyo jamaa sio kwamba anakupenda sn Wala nn
Apo anatafta kutamba Kwa rafk zake kua upindui
Wanaume weng Yuko hivo hasa ex wako akirudi kanona[emoji16]
 
Usiangalie nyuma .mpaka umri huo alionao hajajielewa, hawez kubadilika tena.
 
Hatimae nimeunganisha nukta!
 
Hatimae nimeunganisha nukta!
Utaunganisha sana ila wala hata havihusian
Tatizo jf huwa mnawaza hapa hamuwazi mbele pamoja na kujipa class ya u great thinker
 
Nnachokiona,
Uyo jamaa sio kwamba anakupenda sn Wala nn
Apo anatafta kutamba Kwa rafk zake kua upindui
Wanaume weng Yuko hivo hasa ex wako akirudi kanona[emoji16]
Bunam wala sina mda wa kurudi mwaya...
Nasonga mbele naangalia chaka lingine maisha yanasonga....
Me tenaa
 
Halafu ukishaujua ukaombee mkopo au?
Naweza mpenda hata babako kama anaweza kunihudumia na kunijali
Sina maana ya kukukejeli nimekuuliza kwa nia njema, kama ulimpenda j sababu ya hela, kwani j ndo mwanaume pekee aliyeweza kukupa hela kwenye circle ya wanaume ulio-date nao?

Nimeshangaa coz mm & Other men hatuwezi fall kwa mwanamke mwenye miaka 47., Kiasi cha kuwa obsessed hadi kumfata mtu msibani, never Nakadori
 
Nnachokiona,
Uyo jamaa sio kwamba anakupenda sn Wala nn
Apo anatafta kutamba Kwa rafk zake kua upindui
Wanaume weng Yuko hivo hasa ex wako akirudi kanona[emoji16]
Ndugu zangu wa jf, nimeshangaa mwanaume wa miaka 47 kupendwa na mwanamke kiasi hiki, hata kama j anahonga Pesa, obsession aliyonayo nakadori kwa huyo mwanaume ni kubwa sana kuliko kawaida Depal To yeye DeepPond
 
Sina maana ya kukukejeli nimekuuliza kwa nia njema, kama ulimpenda j sababu ya hela, kwani j ndo mwanaume pekee aliyeweza kukupa hela kwenye circle ya wanaume ulio-date nao?

Nimeshangaa coz mm & Other men hatuwezi fall kwa mwanamke mwenye miaka 47., Kiasi cha kuwa obsessed hadi kumfata mtu msibani, never Nakadori
Kwa mwanaume haiwezekani ila kwa wanawake tunaweza kuolewa hata na mzee wa miaka 70
Tunachojali ni mtu wa kuweza kuongea lugha zetu...
Ananizaa kabisa
 
Ndugu zangu wa jf, nimeshangaa mwanaume wa miaka 47 kupendwa na mwanamke kiasi hiki, hata kama j anahonga Pesa, obsession aliyonayo nakadori kwa huyo mwanaume ni kubwa sana kuliko kawaida Depal To yeye DeepPond
Usichowah ona ni nini?
Wa mrema hukumuona? Wa mengi hukumuona? Hebu usinishangae kashangae Ferry huko. Me Leo hata mood ya kujibu sana sina...nko safarini
 
Back
Top Bottom