msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
Wakuu habari za Majukumu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, gari yangu hiyo aina ya Toyota Spacio hivi karibuni imekuwa ikikosa nguvu pindi inapoanza kupanda mlima hata kama ni kidogo pia inakuwa kama inamiss hivi sasa sijajua kama ni ishu ya Fuel Pump au maana hata nikijaribu piga ress kwenye accelerator ina kuwa na miss lakini ikiwa tambarare inachanganya..naombeni ushauri wakuu.