msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
Sawa mkuu. .inawezekana zikawa zimechoka
Shukran Mkuu, nalifanyia kazi.Ndugu zangu wa jukwaa Hili naomba Sana mzingatie vituo vya kuweka mafuta msiweke Tu mafuta ilimradi Tu yanauzwa...
Mafuta haya machafu kwenye vituo mbalimbali ni janga kubwa Sana na kilasiku vinafunguliwa vituo vya mafuta machafu.
Nenda baraka Kwa fundi acheki plug na fuel pump
Shukrani Mkuu, hii ishu ya mafuta machafu ni changamoto. Asante Mkuu.Anzia marekebisho madogo na simple kwenda makubwa.
1. Fanya routine maintenance mfano Plugs na Oil.
2. Njoo ATF
3. Cheki coils.
Baada ya hapo ndio uanze kuangaika na ayo ma pump, sensors, etc.
NB: Hamna kitu kinaua magari yetu kama kuweka wese chafu na kuendesha empty tanks.
Mkuu nashukiru kwa ushauri, ishu ilikuwa plugs na Fuel Pump, nimebadili kila kitu kiko sawa. Shukran.Anzia marekebisho madogo na simple kwenda makubwa.