Ushauri: Gari zote ziondolewe vioo vya tinted Ili kuwabaini watekaji wasiojulikana

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, shalom!!

Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili.

Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu.

Ushauri: Gari zote ziondolewe tinted Ili kuzuia watu wetu kupotezwa, vioo vya tinted virudishwe pale tu tishio la kupotea ndugu zetu litakapoondoka.

Soma Pia: Kuna gari V8 nyeusi imepaki hapa Kijiweni kwetu kitambo kidogo, hatujui nani mmiliki na kwanini ipo hapa!

NB: Watanzania tuna HAKI ya kuishi na tuhakikishe HAKI hiyo inalindwa.

Karibuni 🙏
 
Na hatua hizi zilenge kushufhulikia gari zote zenye tinted.

Ikiwa u raia Mwema, gari Yako Ina kioo tinted, ondoa mara Moja Ili kujitofautisha na watekaji wasiojulikana.
 
Haitosaidia, instead zile check point za barabarani zitumike kweli kweli kukagua
 
Tinted zote ziondolewe kwenye magari, ukaguzi kwenye check point ndipo ufuate.

Tunelekea kubaya,

Nawashauri raia WEMA wenye gari tinted kuzitoa mara Moja, maana hasira za umma nazifahamu.
 
Salaam, shalom!!

Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili.

Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu.

Ushauri: Gari zote ziondolewe tinted Ili kuzuia watu wetu kupotezwa, vioo vya tinted virudishwe pale tu tishio la kupotea ndugu zetu litakapoondoka.

NB: Watanzania tuna HAKI ya kuishi na tuhakikishe HAKI hiyo inalindwa.

Karibuni 🙏
Mmmmmm ukiona mtu ame tekwa utaweza kufukuzia....kumsaidia??
 
Salaam, shalom!!

Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili.

Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu.

Ushauri: Gari zote ziondolewe tinted Ili kuzuia watu wetu kupotezwa, vioo vya tinted virudishwe pale tu tishio la kupotea ndugu zetu litakapoondoka.

NB: Watanzania tuna HAKI ya kuishi na tuhakikishe HAKI hiyo inalindwa.

Karibuni 🙏

DAB alifanya hiyo issue DAR target ilikuwa kumuweka kwenye 18 TAL.
 
Tinted zote ziondolewe kwenye magari, ukaguzi kwenye check point ndipo ufuate.

Tunelekea kubaya,

Nawashauri raia WEMA wenye gari tinted kuzitoa mara Moja, maana hasira za umma nazifahamu.
Unajua wakaguzi ni akina nani?
Unajua MAELEKEZO?
 
Unalazwa kwenye kiti kumbuka kuna bastola na pingu....
Niamini Mimi,

Pakiwa hakuna tinted, utekeji utakoma maana watu hao ni WA gizani, Si Rahisi kuendelea kutumia Mbinu hiyo pasipokuwa na Giza la uficho wa vioo tinted.
 
Basii sawaa.....nadhariaas
 
Salaam, shalom!!

Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili.

Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu.

Ushauri: Gari zote ziondolewe tinted Ili kuzuia watu wetu kupotezwa, vioo vya tinted virudishwe pale tu tishio la kupotea ndugu zetu litakapoondoka.

Soma Pia: Kuna gari V8 nyeusi imepaki hapa Kijiweni kwetu kitambo kidogo, hatujui nani mmiliki na kwanini ipo hapa!

NB: Watanzania tuna HAKI ya kuishi na tuhakikishe HAKI hiyo inalindwa.

Karibuni 🙏
Kwa hio akiondoa tinted ndio utajua ni ya nani na inafanya nini hapo?
 
Kwa hio ukiondoa tinted ndio utajua ni ya nani na inafanya nini hapo?
Ni Rahisi kuchukua video au kupiga picha watu utakaowatilia mashaka.

Ikiwa jeshi la polisi limeshindwa kulinda raia, umma uingie haraka kazini kulinda HAKI ya kuishi ya JAMII ya Watanzania.
 
Kutokana na ongezeko la utekaji nyara na kupotezwa watu na kuuawa. Hatua muhimu kuzuia vitendo hivyo ni pamoja na kuzuia kabisa magari yenye tinted. Iwe ni serikali au raia mitaani magari haya yasiruhusiwe tena isipokuwa ya viongozi wakuu wa nchi. Aidha, wanainchi wote jitahidini kununua filimbi na kutembea nazo ili ikusaidie kuipiga mara ukiwa na mashaka na ukikamatwa bila kufuata taratibu. siku njema
 
Back
Top Bottom