- Thread starter
- #21
Twende hatua Kwa hatua,Unajua gari ilivyo? mtu anatekwa fresh bila hata kuwa na TINT.
Mambo yawe hadharani, pasiwepo na yeyote wa kujificha Kwa vioo tinted.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende hatua Kwa hatua,Unajua gari ilivyo? mtu anatekwa fresh bila hata kuwa na TINT.
Twende hatua Kwa hatua,
Mambo yawe hadharani, pasiwepo na yeyote wa kujificha Kwa vioo tinted.
Haitasaidia sana wat chini ama kukuvisha kinyago ama kukudunga sindano ya kaputSalaam, shalom!!
Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili.
Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu.
Ushauri: Gari zote ziondolewe tinted Ili kuzuia watu wetu kupotezwa, vioo vya tinted virudishwe pale tu tishio la kupotea ndugu zetu litakapoondoka.
Soma Pia: Kuna gari V8 nyeusi imepaki hapa Kijiweni kwetu kitambo kidogo, hatujui nani mmiliki na kwanini ipo hapa!
NB: Watanzania tuna HAKI ya kuishi na tuhakikishe HAKI hiyo inalindwa.
Karibuni 🙏
Mwalimu Nyerere alitumia gari isiyo na tinted.Jitahidi kupunguza ujinga
USSR
Ni Kweli,Haitasaidia sana wat chini ama kukuvisha kinyago ama kukudunga sindano ya kaput
Hata gari za viongozi wakuu ziondolewe tinted.Kutokana na ongezeko la utekaji nyara na kupotezwa watu na kuuawa. Hatua muhimu kuzuia vitendo hivyo ni pamoja na kuzuia kabisa magari yenye tinted. Iwe ni serikali au raia mitaani magari haya yasiruhusiwe tena isipokuwa ya viongozi wakuu wa nchi. Aidha, wanainchi wote jitahidini kununua filimbi na kutembea nazo ili ikusaidie kuipiga mara ukiwa na mashaka na ukikamatwa bila kufuata taratibu. siku njema
Haisadii kivile, jiulize ni kwa nini ni mara chache watu huweza kuwsona watekaji hata kama ni mchana.Ni Rahisi kuchukua video au kupiga picha watu utakaowatilia mashaka.
Ikiwa jeshi la polisi limeshindwa kulinda raia, umma uingize haraka kazini kulinda HAKI ya kuishi ya JAMII ya Watanzania.
Ni suala la muda tu, ndoano itanasa!!Haisadii kivile, jiulize ni kwa nini ni mara chache watu huweza kuwsona watekaji hata kama ni mchana.
Naunga mkono hoja,hasa kwenye vioo vya milango ya mbele na kioo cha mbele...Salaam, shalom!!
Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili.
Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu.
Ushauri: Gari zote ziondolewe tinted Ili kuzuia watu wetu kupotezwa, vioo vya tinted virudishwe pale tu tishio la kupotea ndugu zetu litakapoondoka.
Soma Pia: Kuna gari V8 nyeusi imepaki hapa Kijiweni kwetu kitambo kidogo, hatujui nani mmiliki na kwanini ipo hapa!
NB: Watanzania tuna HAKI ya kuishi na tuhakikishe HAKI hiyo inalindwa.
Karibuni 🙏
Jiulize hata wewe,Naunga mkono hoja,hasa kwenye vioo vya milango ya mbele na kioo cha mbele...
Kumbuka siyo gari zote huchekiwa kwenye check point, zingine zinapita kama stuff!!Tinted zote ziondolewe kwenye magari, ukaguzi kwenye check point ndipo ufuate.
Tunelekea kubaya,
Nawashauri raia WEMA wenye gari tinted kuzitoa mara Moja, maana hasira za umma nazifahamu.
HOJA ni kuturahisishia umma wa Watanzania tutakapoanza kufanya check up wenyewe kuwatafuta ndugu zetu.Kumbuka siyo gari zote huchekiwa kwenye check point, zingine zinapita kama stuff!!
Nguvu ya Umma ndiyo suluhisho la hizi hofu tunazojengewa na dola.Salaam, shalom!!
Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili.
Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu.
Ushauri: Gari zote ziondolewe tinted Ili kuzuia watu wetu kupotezwa, vioo vya tinted virudishwe pale tu tishio la kupotea ndugu zetu litakapoondoka.
Soma Pia: Kuna gari V8 nyeusi imepaki hapa Kijiweni kwetu kitambo kidogo, hatujui nani mmiliki na kwanini ipo hapa!
NB: Watanzania tuna HAKI ya kuishi na tuhakikishe HAKI hiyo inalindwa.
Karibuni 🙏
Mimi nilikuwepo Mzee Nyerere alipokuwa Rais, hakutumia gari zenye tinted, tulimuona live.Nguvu ya Umma ndiyo suluhisho la hizi hofu tunazojengewa na dola.
Gari ya umma kuwa na tinted ni kuvunja sheria ya usalama kwa umma kutokana na mazingira ya sasa
Ikulu imejengewa ukuta mzito na endapo ukatembea kwa nje yake na ukaugusa, kama hawwtakuua basi utashtakiwa kwa kutishia usalama wa nchiMimi nilikuwepo Mzee Nyerere alipokuwa Rais, hakutumia gari zenye tinted, tulimuona live.
Sahizi tinted inawekwa Hadi kwenye kioo Cha mbele,halafu viongozi wanavyoendeshwa Kwa spidi unaweza Dhani wametekwa tayari!!