Haitosaidia, instead zile check point za barabarani zitumike kweli kweli kukaguaNa hatua hizi zilenge kushufhulikia gari zote zenye tinted.
Ikiwa u raia Mwema, gari Yako Ina kioo tinted, ondoa mara Moja Ili kujitofautisha na watekaji wasiojulikana.
Tinted zote ziondolewe kwenye magari, ukaguzi kwenye check point ndipo ufuate.Haitosaidia, instead zile check point za barabarani zitumike kweli kweli kukagua
Mmmmmm ukiona mtu ame tekwa utaweza kufukuzia....kumsaidia??Salaam, shalom!!
Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili.
Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu.
Ushauri: Gari zote ziondolewe tinted Ili kuzuia watu wetu kupotezwa, vioo vya tinted virudishwe pale tu tishio la kupotea ndugu zetu litakapoondoka.
NB: Watanzania tuna HAKI ya kuishi na tuhakikishe HAKI hiyo inalindwa.
Karibuni 🙏
Salaam, shalom!!

Mtu akitekwa na gari Haina tinted ni ngumu sana kumficha.Mmmmmm ukiona mtu ame tekwa utaweza kufukuzia....kumsaidia??
Ni ujinga?Kwa nini uwe ujinga?Jitahidi kupunguza ujinga
USSR
Unajua wakaguzi ni akina nani?Tinted zote ziondolewe kwenye magari, ukaguzi kwenye check point ndipo ufuate.
Tunelekea kubaya,
Nawashauri raia WEMA wenye gari tinted kuzitoa mara Moja, maana hasira za umma nazifahamu.
Unalazwa kwenye kiti kumbuka kuna bastola na pingu....Mtu akitekwa na gari Haina tinted ni ngumu sana kumficha.
Umma haujawahi kushindwa jambo ukiamua.
Tinted glass zibaki kwenye gari za watekaji na wasiojulikana Ili tuone kama wataweza kushindana na nguvu ya umma.Remove Tinted Glass.
Niamini Mimi,Unalazwa kwenye kiti kumbuka kuna bastola na pingu....
Basii sawaa.....nadhariaasNiamini Mimi,
Pakiwa hakuna tinted, utekeji utakoma maana watu hao ni WA gizani, Si Rahisi kuendelea kutumia Mbinu hiyo pasipokuwa na Giza la uficho wa vioo tinted.
Kwa hio akiondoa tinted ndio utajua ni ya nani na inafanya nini hapo?Salaam, shalom!!
Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili.
Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu.
Ushauri: Gari zote ziondolewe tinted Ili kuzuia watu wetu kupotezwa, vioo vya tinted virudishwe pale tu tishio la kupotea ndugu zetu litakapoondoka.
Soma Pia: Kuna gari V8 nyeusi imepaki hapa Kijiweni kwetu kitambo kidogo, hatujui nani mmiliki na kwanini ipo hapa!
NB: Watanzania tuna HAKI ya kuishi na tuhakikishe HAKI hiyo inalindwa.
Karibuni 🙏
Check point gani?Haitosaidia, instead zile check point za barabarani zitumike kweli kweli kukagua
Unajua gari ilivyo? mtu anatekwa fresh bila hata kuwa na TINT.Mtu akitekwa na gari Haina tinted ni ngumu sana kumficha.
Umma haujawahi kushindwa jambo ukiamua.
Ni Rahisi kuchukua video au kupiga picha watu utakaowatilia mashaka.Kwa hio ukiondoa tinted ndio utajua ni ya nani na inafanya nini hapo?