Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, he disregard party tradition, needs to be fixed Angewasikisha hoja zake mamlaka husika. Has enough experience with party tradition hence should not have gone Public. A liability which needs to be fixed. Adhibitiwe haraka kumbuka wakati wa mwendazake akisumbua sana