Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,049
- 4,301
Akili yako inaweza isijaze kisoda
Au na yeye atekwe auwawe maana ndiyo njia yenu pekee ya kujibu hoja.Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, Angewasikisha hoja zake kwenye mamlaka husika he's an experience mwanasiasa should not have gone Publix. Adhibitiwe haraka kumbukav wakati wa mwendazake akisumbua sana
No Reform No ElectionGwajima atachukua fomu cdm ndy raix ajae
Huyu mjanja unakumbuka alivyokataa kukalia kile kiti akaonekana kituko kumbe alikuwa amenusa HATARI?Kama Gwajima ataitwa kwenye kamati ya namna hiyo, Basi namshauri asiende.
Akumbuke yaliyomkuta mmoja wa Watu maarufu aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama 'twawala' Bw. Horace Kolimba
EEEEeeenHEEEeeeeh!Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, Angewasikisha hoja zake kwenye mamlaka husika he's an experience mwanasiasa should not have gone Publix. Adhibitiwe haraka kumbukav wakati wa mwendazake akisumbua sana
"Kifo ni Kifo"? Very callous. Huyu ni kiongozi wa nchi anayasema haya, kwa mhanga aliye ondolewa uhai wake kikatili kabisa na maiti yake kunajisiwa!Watu wanakuaje na maadili kama walishindwa kumkemea rais aliyesema kifo ni kifo?
Utakuwa mnufaika wa watekaji wewe,au tuambie umechukua hatua gani mpaka sasa baada ya watu 80 kuuwawa pamoja na hiyo kamati yako unayoiamini ikamuhoji Gwajima?Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, Angewasikisha hoja zake kwenye mamlaka husika he's an experience mwanasiasa should not have gone Publix. Adhibitiwe haraka kumbukav wakati wa mwendazake akisumbua sana
Utaratibu wa CCM ni kuvumilia utekaji na mauaji ya watu wasio na hatia?.Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, Angewasikisha hoja zake kwenye mamlaka husika he's an experience mwanasiasa should not have gone Publix. Adhibitiwe haraka kumbukav wakati wa mwendazake akisumbua sana
Eti mzalendo🤦🏾♂️😂😂😂😂😂Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, Angewasikisha hoja zake kwenye mamlaka husika he's an experience mwanasiasa should not have gone Publix. Adhibitiwe haraka kumbukav wakati wa mwendazake akisumbua sana
Jamani asiyejulikana kashindwa kuvumilia, muda si mrefu watajulikana wao na wafadhili wao! Askofu Gwajima shikilia hapo hapo!!Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, Angewasikisha hoja zake kwenye mamlaka husika he's an experience mwanasiasa should not have gone Publix. Adhibitiwe haraka kumbukav wakati wa mwendazake akisumbua sana
Huyu mama alifikiri tumesahau tutawakumbusha hii kauli siku moja kifo kikitokea upande wao."Kifo ni Kifo"? Very callous. Huyu ni kiongozi wa nchi anayasema haya, kwa mhanga aliye ondolewa uhai wake kikatili kabisa na maiti yake kunajisiwa!
Mtu anayeweza kujibu uovu huu wa kuteka na mauwaji kwa kauli hizi ni mshenzi.Kama Baba yako akishushwa kwenye Basi mchana kweupe halafu akauwawa kisha akatupwa vichakani utajisikiaje ndugu mwenye uzi?
Halafu mkuu wa nchi anasema haya👇
View attachment 3345941