Ushauri Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati kuu kauli zake zina ukakasi , he disregard taratibu husika

Au na yeye atekwe auwawe maana ndiyo njia yenu pekee ya kujibu hoja.
 
Gwajima ni tapeli ndio ila aliyoyaongea yana ukweli.

Mzee Kibao aliuwawa kweli kwa kutolewa macho.

Mdude alivamiwa kweli na kupigwa kisha kuchukuliwa.

Hayo yote ni ya kweli.

Hiyo kamati itakayomuita yenyewe ina watu wenye maadili kwanza,?

Watu wanakuaje na maadili kama walishindwa kumkemea rais aliyesema kifo ni kifo?
 
Kama Gwajima ataitwa kwenye kamati ya namna hiyo, Basi namshauri asiende.
Akumbuke yaliyomkuta mmoja wa Watu maarufu aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama 'twawala' Bw. Horace Kolimba
Huyu mjanja unakumbuka alivyokataa kukalia kile kiti akaonekana kituko kumbe alikuwa amenusa HATARI?
 
EEEEeeenHEEEeeeeh!
Hawa ndio wenye CCM yao siku hizi!
Hata kuandika mistari miwili tu yenye kueleweka ni shida kubwa!

Mkuu 'Uzalendo wa Kitanzania', mimi napendekeza huyo jamaa atakapoitwa haraka sana, atandikwe viboko matakoni kwanza kabla ya mengine yote, ili akili imrudie sawasawa kichwani.
Baada ya hapo, sasa ndiyo hatua hizo ulizo pendekeza zijukuwe mkondo wake.
 
Watu wanakuaje na maadili kama walishindwa kumkemea rais aliyesema kifo ni kifo?
"Kifo ni Kifo"? Very callous. Huyu ni kiongozi wa nchi anayasema haya, kwa mhanga aliye ondolewa uhai wake kikatili kabisa na maiti yake kunajisiwa!
 
Utakuwa mnufaika wa watekaji wewe,au tuambie umechukua hatua gani mpaka sasa baada ya watu 80 kuuwawa pamoja na hiyo kamati yako unayoiamini ikamuhoji Gwajima?
 
Utaratibu wa CCM ni kuvumilia utekaji na mauaji ya watu wasio na hatia?.
Pumbavu zako.
 
Eti mzalendo๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Jamani asiyejulikana kashindwa kuvumilia, muda si mrefu watajulikana wao na wafadhili wao! Askofu Gwajima shikilia hapo hapo!!
 
"Kifo ni Kifo"? Very callous. Huyu ni kiongozi wa nchi anayasema haya, kwa mhanga aliye ondolewa uhai wake kikatili kabisa na maiti yake kunajisiwa!
Huyu mama alifikiri tumesahau tutawakumbusha hii kauli siku moja kifo kikitokea upande wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ