Ushauri: Haamini kama nilimtunzia usichana wake

Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.

Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.

Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.

But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.

Naombeni ushauri wenu please.
Weka picha tuamini.
 
Hata kama n ww ungefanyaje
si angeacha pale pale katifua tifua kila mahala then anakuja kusema angeingiza akatoa then hamna kitu angelianzisha hapo hapo
 
4d510ca561a9778900afa0ba3a79bbb5.jpg
 
si angeacha pale pale katifua tifua kila mahala then anakuja kusema angeingiza akatoa then hamna kitu angelianzisha hapo hapo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2]

Kweli jamaaa alitifua tifua kama
Kuku badala achimbe shimo
 
Madam nione Pm
Please upate kujua mahali ttz liko
 
mwambie alete reference wapi palipoandikwa kua ukitolewa bikra LAZIMA damu itoke????

kuna aina tofauti za bikira...nikipost hapa nahisi mods wataitoa...

but huyo bwanako hata kale ka basic biology kalimpiga chenga..
Ya mleta mada ni aina gani mkuu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2]

Kweli jamaaa alitifua tifua kama
Kuku badala achimbe shimo
ha ha ha ha umeona enhee?
 
Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.

Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.

Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.

But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.

Naombeni ushauri wenu please.
Umependeza na cheni kwenye guu lako la left; mambo yetu yalee 🙂)) ulimpatia kwani?
 
Tatzo jamaa kakuta kitu inapenya tu bila kukwama na pia damu haijatoka mkuu
Yaan pale pale angeanza kusema hamna bikra hapa umenidanganya, ila kasubir kambinua kushoto kulia, mguu wa shingo mguu wa chaga halafu analalamika nin sasa?
 
Back
Top Bottom