Ushauri: Haamini kama nilimtunzia usichana wake

Ushauri: Haamini kama nilimtunzia usichana wake

Hahaa ni sehemu ya yeye ndio ila sio yeye kwa maana kwamba hata bila bikra bado anabaki kuwa yeye tu..bikra yenyewe inabomolewa siku moja tu mbwembwe zote za nini?
Ahahahajajaa eti inabomolewa.... utadhani bomoa bomoa ya Kimara
 
4d510ca561a9778900afa0ba3a79bbb5.jpg
Hiyo picha namba 5 imenitisha km mdomo wa chura wa game ya Zuma 😂😂😂
 
Back
Top Bottom