Ushauri: Haamini kama nilimtunzia usichana wake

ha ha ha ha kwahyo jamaa amefanya amalipizi ha ha ha ha
Ndiyo maana yake. Siku zote mwanamke kama umemkomalia mwanamme na hutaki kutoa tunda jiridhishe sababu unazotoa ni za kweli. Aje akute ulikuwa unazuga hawezi kukuheshimu hata siku moja. Na kama ni kweli atakuheshimu siku zote.
 
Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.

Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.

Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.

But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.

Naombeni ushauri wenu please.
Sasa huo usichana ni wako au ni wake?!! Unasemaje.....usichana wake ilihali usichana ni wako! Jamani tujielewe wanawake
 
Mmmhhhh kazi kweli kweli..! Hivi si kuna Virginity Doctor au watu wwnye hii profesion wanaweza toa ushauri sawia
 
Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.

Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.

Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.

But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.

Naombeni ushauri wenu please.
Kwanza pole sana.Pili kwa kukusaidia hebu njoo pm halafu nipe nitest nkihakikisha nitampa taarifa na mambo yatakua salama kabisa.
 
wanawake wapo tofauti sana sio kila mwanamke bikra atatokwa na damu akikutana na mwanamke kimapenzi
kuna aina nyingi sana (sijui niseme za bikra or whatever)
wengine hutokwa na damu pale wanaposex siku ya kwanza
wengine hutokwa na damu baada ya kumaliza sex hata masaa3 baadae
wengine wakienda kukojoa baada ya kichapo heavy
wengine hata baada ya siku 2
wengine wakirudia sex mara ya 2,3,4 na kuendelea
wengine hawatokwi na damu ndiyo kama wewe sasa
we kama vipi kuja kwangu damu inaweza ikakutoka.......joking kidogo
bikra ni kama utando tu wa buibui ukiguswa tu na dhakari,uume,penis,mashine,mkwaju,dushe,mnara,mashine ndio damu huanza kutoka
ujinga wa bwana wako ni kujua kuwa bikra ni damu wakati bikra ni mtu asiewahi kusex even a day
binadamu tupo na maumbile tofauti
BTW nipo single mtoa post hapa nikirie kidogo
nipo PM nakusubiri 24/7
 
Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.

Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.

Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.

But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.

Naombeni ushauri wenu please.

Usihangaike kumhakikishia, ni mbinafi! hata kama hukumtunzia, bado anapaswa kukusamehe na muendelee
 
Kuna baadhi ya sababu ikiwemo kuendesha baiskeli zinaweza zikaondoa bikra pia labda kuna mtu alimnyatia usiku akagegega wakati yeye kauchapa usingizi. Hapa nazungumzia ndugu na jamaa ambao wanaweza kufanya hivyo.

Kwanini damu haikutoka?

Tuanzie hapo kwanza
 
Wewe ulitokwa na damu?

...nahisi jamaa may be alikuwa apeleki push in kama ya USAIN BOLT bali kama ya mwendo wa kinyonga
Kumbe ndio maana haikutoka?
Hapo chacha....
Inawezekana kutotoka damu na binti akawa bikra.
Naona inawezekana eti
Kuna baadhi ya sababu ikiwemo kuendesha baiskeli zinaweza zikaondoa bikra pia labda kuna mtu alimnyatia usiku akagegega wakati yeye kauchapa usingizi. Hapa nazungumzia ndugu na jamaa ambao wanaweza kufanya hivyo.
Hiyo sababu ya baiskeli hiyo huwa sitamani kuiamini sana
Labda hiyo ya kunyatiwa usiku
 
Kumbe ndio maana haikutoka?

Naona inawezekana eti

Hiyo sababu ya baiskeli hiyo huwa sitamani kuiamini sana
Labda hiyo ya kunyatiwa usiku
Kuna bikra nyingine zinakuwa loose and more elastic na katikati zinakuwa hollow kwa Kama mwanamme ana kibamia au dizaini ya mbuzi basi bikra inaweza kutolewa na mtoto wakati wa kajifungua.
 
Mmeanza kugegedwa shule za msingi halafu mkikutana na boyfriend high school mnajifanya mimi sijawahi wakati mlishaliwa long long ago. Mwanamke mwenye bikra lazima ule utando wa ngozi laini utakuwepo tuu na damu itatoka japo kiduchu ya kuupaka mhogo. Km hakuna kabisa japo tone nawe ulishagegedwa. Wengine mnagegedwa kwa vidole na wasichana wenzenu wengine na boyfriends wenu sio lazima uwe uume.

Jamaa mi namsifu, akupige chini kwa sababu ulimdanganya. Atafute demu mkweli atakayesema ashapigwa na mihogo ... this much waanze penzi la ukweli.
 
Hata angethibitisha kuwa ni kweli ulimtunzia ingekuwaje? Nakuhakijishia bado angesema tu kitu kingine!
 
Kwa hiyo shida yake ni wewe au bikra? Mwambie aache ujinga
Mkuu......
Una roho mbaya sana aiseee..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya majibu yana wafaa wakomavu kama wewe...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Shemeji Kantwe, usisahau bikra ni sehemu ya yeye..ahahahahaa
Hahaa ni sehemu ya yeye ndio ila sio yeye kwa maana kwamba hata bila bikra bado anabaki kuwa yeye tu..bikra yenyewe inabomolewa siku moja tu mbwembwe zote za nini?
 
Mkuu......
Una roho mbaya sana aiseee..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya majibu yana wafaa wakomavu kama wewe...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom