Ushauri: Haamini kama nilimtunzia usichana wake

Ushauri: Haamini kama nilimtunzia usichana wake

Pole, Huwa ni rahisi sana kumkubalia muongo lakini kumpata mwanamme mkweli siyo jambo jepesi. Mwambie ukweli kuwa uliwahi kwenda jkt, huenda bikra ilitoka ukiwa huko, akigoma hataki kuwa na wewe bhasi mwache aende zake kwa amani.
 
Kwa hiyo shida yake ni wewe au bikra? Mwambie aache ujinga
Bikra ina matter Sana Dada kama huna shauri yako.

Me nikimpata gal mwenye bikra nanikafanikiwa kutoa basi Huyo ndo atakuwa mke wangu
 
Nashangaa kuona mpk kuna wanaume wenzangu mnatetea hpa. Ingekuwa nyie mngeamini kweli..??? Hapana aisee. Mimi binafsi nisingeamin mpk na ningesepa, au ningeendelea huku nikijiaminisha kwamb mimi sio wa kwanza kwake na wala hajanitunzia.

Kwanini damu isitoke bana..!!! Acha tu jamaa asepe kwa kweli, ila haiwezekani hata kitone cha damu kama ya mbu, eti kisionekane NEVER..!!

Nimependa wanawake wanaoonesha kushangaa kilichotokea. Safi sn...!! Wanaomtetea wamuulize vzr mwenzao.
ficha ujinga wako
 
Bikra ina matter Sana Dada kama huna shauri yako.

Me nikimpata gal mwenye bikra nanikafanikiwa kutoa basi Huyo ndo atakuwa mke wangu
How old are you? Kweli kipimo cha mke mwema kwako ni bikra? Kitu ambacho hata sio cha kudumu mkishakutana mara moja tu kwa heri. Unaonekana hujawahi kukutana nayo ndio maana upo desparate kiasi hicho
 
17-22 = 5
miaka mi5 sasa mpo bado?
sasa hukuomba ushauri kipindi hicho unaomba now?!!!!

kweli maisha na muziki
 
Nashangaa kuona mpk kuna wanaume wenzangu mnatetea hpa. Ingekuwa nyie mngeamini kweli..??? Hapana aisee. Mimi binafsi nisingeamin mpk na ningesepa, au ningeendelea huku nikijiaminisha kwamb mimi sio wa kwanza kwake na wala hajanitunzia.

Kwanini damu isitoke bana..!!! Acha tu jamaa asepe kwa kweli, ila haiwezekani hata kitone cha damu kama ya mbu, eti kisionekane NEVER..!!

Nimependa wanawake wanaoonesha kushangaa kilichotokea. Safi sn...!! Wanaomtetea wamuulize vzr mwenzao.
Hao wanawake wanaoshangaa walitolewa bikra wakiwa bado wabichi hawajakutana na mikikimikiki ya maisha. We una miaka 13 unakutana na kitu nchi sita lazima damu imwagike kama kuku kachinjwa
 
Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.

Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.

Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.

But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.

Naombeni ushauri wenu please.

DADA UNAOMBA USHAURI GANI SASA? MAANA HAPO SIONI SHIDA INAYOKUFANYA UOMBE USHAURI KWANI YEYE KUTOKUAMINI NDIYO UNAOMBA USHAURI AU UNATAKA TUKUSHAURI NINI?
 
Mama fursa pole kwa hayo ila jamaa alitaka kuwahi fursa kwako. Hapo hakuna mapenzi ya dhati aliyonayo juu yako.na jamaa inavyoonekana ni kipanga na ambiliki. Siyo wanawake wote walioolewa wameolewa na bikira zao. Na siyo wanawake wote wamepoteza bikira zao kwa kufanya mapenzi. Ikiwa ameshindwa kukuamini hapo basi hawezi kukuamini kamwe ingawaje mwenyekujua ukweli kuhusu bikira yako ni wewe mwenyewe
 
How old are you? Kweli kipimo cha mke mwema kwako ni bikra? Kitu ambacho hata sio cha kudumu mkishakutana mara moja tu kwa heri. Unaonekana hujawahi kukutana nayo ndio maana upo desparate kiasi hicho
Naona unahangaika kumuelekeza mvulana kipimo cha mke bora, kwake ni bora aoe mchawi ilimradi awe bikra teh.
 
mwambie alete reference wapi palipoandikwa kua ukitolewa bikra LAZIMA damu itoke????

kuna aina tofauti za bikira...nikipost hapa nahisi mods wataitoa...

but huyo bwanako hata kale ka basic biology kalimpiga chenga..
dah basi hiyo ya kutoa bikra pasipo damu haikuwahi kuwa baati yangu coz nimetoa bikra saba na damu juu.
 
Kumbe wasichana mnaojitunza bado mpo....?
 
Hiyo kitu ilinitokea Mimi pia nimeanza sex nikiwa na umri Kama wako na kwa mara ya kwanza damu haikutoka japo maumivu niliyasikia na damu nilikuja kuiona baadae kwenye nguo ya ndani but mpaka tumetengana hakuamini Kama yeye ndo alikua wa kwanza na hata umshawishi vipi ni ngumu kuamini wewe muache aamini kile anachotaka kuamini hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kumshawishi
 
Kumbe na nyie mnajua bikira ina umuhimu ndio maana una panic kuona damu haikutoka, pole sana binti.
 
Back
Top Bottom