Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,599
Pole, Huwa ni rahisi sana kumkubalia muongo lakini kumpata mwanamme mkweli siyo jambo jepesi. Mwambie ukweli kuwa uliwahi kwenda jkt, huenda bikra ilitoka ukiwa huko, akigoma hataki kuwa na wewe bhasi mwache aende zake kwa amani.