Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Zitto si alipeleka kesi mahakamani ?Mlimfukuza ZZK kwa kile mlichoita usaliti, leo hii mnamhitaji kila siku kwenye maridhiano.
Mliwakaribisha mamluki Kina Sumaye na Masha hadi jikoni, kuna nini wasichokijua?
Kama ni usaliti, nyie ndo mmetusaliti pakubwa wananchi tuliowahi kuwaamini.
By the way tukio lile lilishaua political career ya Zitto kwa sasa ataishia kuwa busy body tu.