Zitto si alipeleka kesi mahakamani ?Mlimfukuza ZZK kwa kile mlichoita usaliti, leo hii mnamhitaji kila siku kwenye maridhiano.
Mliwakaribisha mamluki Kina Sumaye na Masha hadi jikoni, kuna nini wasichokijua?
Kama ni usaliti, nyie ndo mmetusaliti pakubwa wananchi tuliowahi kuwaamini.
Hakuna mwenye ubavu wa kumfukuza Mbowe aliyrtajwa na Halima. Hakuna. Lro ndio utaijua chademaNimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja...
Leo ndio utaijua CHADEMAKweli kabisaa, chadema haijawahi kumuonea aibu MTU.
DuuMlimfukuza ZZK kwa kile mlichoita usaliti, leo hii mnamhitaji kila siku kwenye maridhiano.
Mliwakaribisha mamluki Kina Sumaye na Masha hadi jikoni, kuna nini wasichokijua?
Kama ni usaliti, nyie ndo mmetusaliti pakubwa wananchi tuliowahi kuwaamini.