IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Huyu bwana yuko vizuri sana tena sana...ila kwa sasa ameanza kulewa sifa..
1. Amekuwa mvutaji wa sigara sana
2. Mtumiaji wa pombe sana
3. Watu wake wa karibu wanasema ameanza kiburi...kazinguana na Mr. Puazi ambaye ni Meneja wake...lengo lake hiyo position ampe rafiki yake wa karibu anaitwa Rajabu...
Kazi ukileta urafiki utapotea mazima kijana. Sasa hiyo sigara/ulevi itaanzisha safari nyingine ya kula unga..
Jifunze dogo we ni kijana mdogo sana achana na matumizi ya sigara sio sifa. Sio swala la kumsingizia we fuatilia page zake ni full sigara na ulevi..
Viongozi wa WCB kijana anapotea Chid Benz katokea hukohuko....
Hapa BASATA ndio wakati wao kuwasaidia wasanii kabla hayajawakuta madhara makubwa..sio kufungia nyimbo tuu..
Inaumiza kuona mtu kama Harmonize anapotea...
Sent using Jamii Forums mobile app