Ushauri: Harmonize wa WCB acha au punguza uvutaji sigara, itakupeleka pabaya

Kila kifo kina chanzo, kama yeye atakufa kwa uvutaji wa sigara basi mwingine atakufa kwa malaria na vingine. We all live once, kila mtu afanye maisha yake ila usifanye kinyume na Mungu na sheria za duniani. Hakuna atakaye ishi milele.. let him be course he choose that way and everybody has his / her choice in life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....kazinguana na Mr puazi ambaye ni meneji wake...lengo lake hiyo position ampe rafiki yake wa karibu anaitwa Rajabu...

Ni sawa na kusema Rais kazinguana na Waziri wa Viwanda... lengo lake ampe hiyo position rafiki yake wa karibu anaitwa Kitwanga

senseless, to me
 
Kawaida sana kubadilisha meneja kwa msanii na hata kampuni hufanya ivyo.
Sigara siyo yy wa kwanza kuvuta wala kuhalibikiwa.
Pambana na hali yako tu kiongozi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuachana na meneja sio tatizo ...ishu ni kuleta visa vya makusudi ili umpe kazi rafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana yuko vizuri sana tena sana...Ila kwa sasa ameanza kulewa sifa...
1.amekuwa mvutaji wa sigara sana
2.mtumiaji wa pombe sana
3.na watu wake wa karibu wanasema ameanza kibri....kazinguana na Mr puazi ambaye ni meneji wake...lengo lake hiyo position ampe rafiki yake wa karibu anaitwa Rajabu...
Kazi ukileta urafiki utapotea mazima kijana..
Sasa hiyo sigara/ulevi itaanzisha safari nyingine ya kula unga..
Jifunze dogo we ni kijana mdogo sana achana na matumizi ya sigara sio sifa...
Sio swala la kumsingizia we fuatilia page zake ni full sigara na ulevi....
Viongozi wa WCB kijana anapotea chid benzi katokea hukohuko....
Hapa BASATA ndio wakati wao kuwasaidia wasanii kabla hayajawakuta madhara makubwa..sio kufungia nyimbo tuu..
Inaumiza kuona MTU km harmonize anapotea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepewa data hapa huyo dogo anayemtaka harmonize awe meneja anaitwa rajabu mchopa...
Kwenye IG anatumia mchopa_the_bestboy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana yuko vizuri sana tena sana...Ila kwa sasa ameanza kulewa sifa...
1.amekuwa mvutaji wa sigara sana
2.mtumiaji wa pombe sana
3.na watu wake wa karibu wanasema ameanza kibri....kazinguana na Mr puazi ambaye ni meneji wake...lengo lake hiyo position ampe rafiki yake wa karibu anaitwa Rajabu...
Kazi ukileta urafiki utapotea mazima kijana..
Sasa hiyo sigara/ulevi itaanzisha safari nyingine ya kula unga..
Jifunze dogo we ni kijana mdogo sana achana na matumizi ya sigara sio sifa...
Sio swala la kumsingizia we fuatilia page zake ni full sigara na ulevi....
Viongozi wa WCB kijana anapotea chid benzi katokea hukohuko....
Hapa BASATA ndio wakati wao kuwasaidia wasanii kabla hayajawakuta madhara makubwa..sio kufungia nyimbo tuu..
Inaumiza kuona MTU km harmonize anapotea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa shabiki wake mzuri lakini baada ya kugundua ni mvutaji mkubwa wa sigalla ajabu nimejikuta napoteza hata ile hali ya kusikiliza kazi zake.!
Asipokuwa makini miaka 20 mingi sana kwake, ajifunze kutoka kwa Nasib.ama huenda aina ya mwanamke aliye naye ndio chanzo cha hiyo tabia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana yuko vizuri sana tena sana...Ila kwa sasa ameanza kulewa sifa...
1.amekuwa mvutaji wa sigara sana
2.mtumiaji wa pombe sana
3.na watu wake wa karibu wanasema ameanza kibri....kazinguana na Mr puazi ambaye ni meneji wake...lengo lake hiyo position ampe rafiki yake wa karibu anaitwa Rajabu...
Kazi ukileta urafiki utapotea mazima kijana..
Sasa hiyo sigara/ulevi itaanzisha safari nyingine ya kula unga..
Jifunze dogo we ni kijana mdogo sana achana na matumizi ya sigara sio sifa...
Sio swala la kumsingizia we fuatilia page zake ni full sigara na ulevi....
Viongozi wa WCB kijana anapotea chid benzi katokea hukohuko....
Hapa BASATA ndio wakati wao kuwasaidia wasanii kabla hayajawakuta madhara makubwa..sio kufungia nyimbo tuu..
Inaumiza kuona MTU km harmonize anapotea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Muache kijana afanye starehe zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom