IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
- Thread starter
- #41
Possibly coz waitaliano sigara kwao ni kawaidaNilikuwa shabiki wake mzuri lakini baada ya kugundua ni mvutaji mkubwa wa sigalla ajabu nimejikuta napoteza hata ile hali ya kusikiliza kazi zake.!
Asipokuwa makini miaka 20 mingi sana kwake, ajifunze kutoka kwa Nasib.ama huenda aina ya mwanamke aliye naye ndio chanzo cha hiyo tabia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app