Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Nilikuwa shabiki wake mzuri lakini baada ya kugundua ni mvutaji mkubwa wa sigalla ajabu nimejikuta napoteza hata ile hali ya kusikiliza kazi zake.!
Asipokuwa makini miaka 20 mingi sana kwake, ajifunze kutoka kwa Nasib.ama huenda aina ya mwanamke aliye naye ndio chanzo cha hiyo tabia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nadhani yule mwanamke ndo kamuwasha huyu dogo. Hakua hivi kabisa Yule mama sura imemshuka sana, itakua anavuta sana mineli. Halafu sijui mgiriki yule? Au Muhangari hakuna mzungu pale.