Ushauri: Harmonize wa WCB acha au punguza uvutaji sigara, itakupeleka pabaya

Ushauri: Harmonize wa WCB acha au punguza uvutaji sigara, itakupeleka pabaya

Nilikuwa shabiki wake mzuri lakini baada ya kugundua ni mvutaji mkubwa wa sigalla ajabu nimejikuta napoteza hata ile hali ya kusikiliza kazi zake.!
Asipokuwa makini miaka 20 mingi sana kwake, ajifunze kutoka kwa Nasib.ama huenda aina ya mwanamke aliye naye ndio chanzo cha hiyo tabia.


Sent using Jamii Forums mobile app

Mi nadhani yule mwanamke ndo kamuwasha huyu dogo. Hakua hivi kabisa Yule mama sura imemshuka sana, itakua anavuta sana mineli. Halafu sijui mgiriki yule? Au Muhangari hakuna mzungu pale.
 
Huu ni shauri hivi we haujawahi kupewa ushauri

AMEKUOMBA UMPE USHAURI.... wa kumshauri ni diamond wanayekutana ofisini huko....
SIYO HUKU JAMII FORUMS UNACHOFANYA HAPO UNASAMBAZA UDAKU TU
 
Fegi mbona kawaida tuu.. me mwenyewe nakula mbona?? ila konde anavuta kweli sio uongo (ulongo)
 
Back
Top Bottom