Huyu bwana yuko vizuri sana tena sana...Ila kwa sasa ameanza kulewa sifa...
1.amekuwa mvutaji wa sigara sana
2.mtumiaji wa pombe sana
3.na watu wake wa karibu wanasema ameanza kibri....kazinguana na Mr puazi ambaye ni meneji wake...lengo lake hiyo position ampe rafiki yake wa karibu anaitwa Rajabu...
Kazi ukileta urafiki utapotea mazima kijana..
Sasa hiyo sigara/ulevi itaanzisha safari nyingine ya kula unga..
Jifunze dogo we ni kijana mdogo sana achana na matumizi ya sigara sio sifa...
Sio swala la kumsingizia we fuatilia page zake ni full sigara na ulevi....
Viongozi wa WCB kijana anapotea chid benzi katokea hukohuko....
Hapa BASATA ndio wakati wao kuwasaidia wasanii kabla hayajawakuta madhara makubwa..sio kufungia nyimbo tuu..
Inaumiza kuona MTU km harmonize anapotea...
Sent using
Jamii Forums mobile app