Ushauri: Harmonize wa WCB acha au punguza uvutaji sigara, itakupeleka pabaya

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Huyu bwana yuko vizuri sana tena sana...ila kwa sasa ameanza kulewa sifa..

1. Amekuwa mvutaji wa sigara sana
2. Mtumiaji wa pombe sana
3. Watu wake wa karibu wanasema ameanza kiburi...kazinguana na Mr. Puazi ambaye ni Meneja wake...lengo lake hiyo position ampe rafiki yake wa karibu anaitwa Rajabu...

Kazi ukileta urafiki utapotea mazima kijana. Sasa hiyo sigara/ulevi itaanzisha safari nyingine ya kula unga..

Jifunze dogo we ni kijana mdogo sana achana na matumizi ya sigara sio sifa. Sio swala la kumsingizia we fuatilia page zake ni full sigara na ulevi..

Viongozi wa WCB kijana anapotea Chid Benz katokea hukohuko....

Hapa BASATA ndio wakati wao kuwasaidia wasanii kabla hayajawakuta madhara makubwa..sio kufungia nyimbo tuu..

Inaumiza kuona mtu kama Harmonize anapotea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimuona akivuta Sigara kwenye page yake!?
 
Hawa watu unajua hawana akili, anakula na kuvuta kitu kimeandikwa ni hatari kwa afya yake sasa wewe unadhani atakuelewa kwa kuandika humu? we mwache atakuja kujutia siku ile amepata madhara na kusema angejua..
 
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tutamwambia
 
Wala usishangae, wameshaamua kuharibu vijana.


Anajua fika sio inshu sana kujichora km.mlevi au mvutaji tena akijua anafuatiliwa sanaa.

Anafanya ivo akijua kundi.kubwa la vijana nyuma yake watamfuata mioyon wakisema "Kama. Superstar anavuta nakunywa. Sembuse mimi???"


Wala msiwashangae,, tena usiku yeye havut wala hamywi ila anajiigizia kuvutw nakunywa.
 
Hivi Kwani wcb kila mtu ana meneja wake?
Mi nilijua wote wako chini ya wale mameneja watatu(sallam,tale, fela)
 
Hivi Meneja Wa Rayvan ni Nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…