Umethibitisha wapiBado anaendelea? Sijamsikia siku mingi bwashee
Chadema si imeshakufa? Hao wanaocha kazi ni kina nani na wapo wapi??N
Njaa, watu wanaacha kazi
Mishahara haijalipwa tangu January kwani wamezuiwa kufanya shhughuli za siasa tangu January?Walipe mishahara Kwa mamlaka yepi si wamezuia kufanya shughuli zao. Hata mahakamani wanajibu kama nani akati wamezuiwa kutekeleza majukumu Yao. What a contradiction!
Wamezuiwa kufanya harakati zao,lakini kulipana mishahara hakujazuiliwa,mishahara ni uhai na maisha,tonetone yote lema kaenda nayo kanada 😀😀Walipe mishahara Kwa mamlaka yepi si wamezuia kufanya shughuli zao. Hata mahakamani wanajibu kama nani akati wamezuiwa kutekeleza majukumu Yao. What a contradiction!
Mbona hujawahi kudai le michango ya wahindi ya kulazimishwa kwenda ccm kwa ajili ya kampeni na mwenge?Tonetone tu wameshindwa kuweka wazi michango imekusanywa kiasi gani ndo aje ajitolee pesa yote hiyo