Tetesi: Ushauri: Heche afanye kama Mbowe, aikopeshe Chadema milioni 300 ili ilipe mishahara ya miezi mitano iliyopita

Mbona hujawahi kudai le michango ya wahindi ya kulazimishwa kwenda ccm kwa ajili ya kampeni na mwenge?
Nyie mna AKILI NDOGO Sana
Mimi siyo mwanachama wa majizi ya Ccm wala Nyumbu wa Chadema, mishahara ya watu ilipwe na hizo tone tone hesabu iwekwe mezani huo ni ufisadi
 
Tonetone tu wameshindwa kuweka wazi michango imekusanywa kiasi gani ndo aje ajitolee pesa yote hiyo
Hela za tone tone Lemma alikimbia nazo zote, alikuwa anadaiwa na mabenki ghafla kalipa madeni yote wakati hana biashara
 
Namshauri John Heche akikopeshe chama milioni 300 ili kilipe mishahara, maana tangu January watu hawajalipwa. Hela zote zinaishia kumlipa posho.

Uongozi sio maneno tu, pia kujitoa. Mbowe alikuwa akitoa fedha yake kukopesha chama.

Wanaugua "Mbowe"disease.... haya Heche ndo huyo kapigwa lock, akafanye mikutano kwa ile nchi Trumph anayodai ni jimbo lake.
Chadema si imeshakufa? Hao wanaocha kazi ni kina nani na wapo wapi??
 
Mimi siyo mwanachama wa majizi ya Ccm wala Nyumbu wa Chadema, mishahara ya watu ilipwe na hizo tone tone hesabu iwekwe mezani huo ni ufisadi
Iwekwe wazi kwanza ile michango ya mwenge na ya wahindi wanaolazimishwq kuichangia ccm kwenye kampeni ili pawe na uwiano sawa.
Mzee wa MPOX na Ebola aka mzee wa sababu za sababu za kiufundi anajua zaidi kuhusu tone tone
 
Walipe mishahara Kwa mamlaka yepi si wamezuia kufanya shughuli zao. Hata mahakamani wanajibu kama nani akati wamezuiwa kutekeleza majukumu Yao. What a contradiction!
NSSF inawaburuza Mahakamani very soon, mmekula michango ya watumishi, wezi kabisa
 
Namshauri John Heche akikopeshe chama milioni 300 ili kilipe mishahara, maana tangu January watu hawajalipwa. Hela zote zinaishia kumlipa posho.

Uongozi sio maneno tu, pia kujitoa. Mbowe alikuwa akitoa fedha yake kukopesha chama.

Najua Heche ni mkulima wa ufuta, atakuwa amevuna
Heche pesa anayo si ana mradi wa mayai ya kwale.
 
Wamezuiwa kufanya harakati zao,lakini kulipana mishahara hakujazuiliwa,mishahara ni uhai na maisha,tonetone yote lema kaenda nayo kanada 😀😀
Mwenyekiti yuko lupango huko outdoor Heche na Lema wanapasua raha kati kati ya SHIDA.
 
Namshauri John Heche akikopeshe chama milioni 300 ili kilipe mishahara, maana tangu January watu hawajalipwa. Hela zote zinaishia kumlipa posho.

Uongozi sio maneno tu, pia kujitoa. Mbowe alikuwa akitoa fedha yake kukopesha chama.

Najua Heche ni mkulima wa ufuta, atakuwa amevuna
Ufuta safari hii umemkataa sana John labda kama amenunua wa Kangomba.
 
Haki wanazopigania ni za kazi gani kama hata wafanyakazi wanawanyima haki zao kwa miezi mitano?
 
Namshauri John Heche akikopeshe chama milioni 300 ili kilipe mishahara, maana tangu January watu hawajalipwa. Hela zote zinaishia kumlipa posho.

Uongozi sio maneno tu, pia kujitoa. Mbowe alikuwa akitoa fedha yake kukopesha chama.

Najua Heche ni mkulima wa ufuta, atakuwa amevuna
Badala udili na mgombea wenu haram unahanhaika na chadema.
 
Hela za tone tone Lemma alikimbia nazo zote, alikuwa anadaiwa na mabenki ghafla kalipa madeni yote wakati hana biashara
Hapo wanafikiria waje na mkakati gani wa kukusanya michango ambayo haisomewi mapato na matumizi
 
Iwekwe wazi kwanza ile michango ya mwenge na ya wahindi wanaolazimishwq kuichangia ccm kwenye kampeni ili pawe na uwiano sawa.
Mzee wa MPOX na Ebola aka mzee wa sababu za sababu za kiufundi anajua zaidi kuhusu tone tone
Kwahiyo nyumbu wa chadema mnashindana na majizi ya Ccm kuibia wananchi?
 
Back
Top Bottom