saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Oktoba tunatiki we bwegeKatiba ya CCM imevunjwa....
NO REFORMS NO ELECTION
Oktoba tunatiki we bwegeKatiba ya CCM imevunjwa....
NO REFORMS NO ELECTION
Dodoma mmemaliza ?Oktoba tunatiki we bwege
Kumbe hii nayo ni mada ya kuletwa humu. Hii Taifa imezalisha vijana wa hivyo sana baada ya uhuruNamshauri John Heche akikopeshe chama milioni 300 ili kilipe mishahara, maana tangu January watu hawajalipwa. Hela zote zinaishia kumlipa posho.
Uongozi sio maneno tu, pia kujitoa. Mbowe alikuwa akitoa fedha yake kukopesha chama.
Najua Heche ni mkulima wa ufuta, atakuwa amevuna
Namshauri John Heche akikopeshe chama milioni 300 ili kilipe mishahara, maana tangu January watu hawajalipwa. Hela zote zinaishia kumlipa posho.
Uongozi sio maneno tu, pia kujitoa. Mbowe alikuwa akitoa fedha yake kukopesha chama.
Najua Heche ni mkulima wa ufuta, atakuwa amevuna
MBOWE hela alikuwa anatoa wapi!?Namshauri John Heche akikopeshe chama milioni 300 ili kilipe mishahara, maana tangu January watu hawajalipwa. Hela zote zinaishia kumlipa posho.
Uongozi sio maneno tu, pia kujitoa. Mbowe alikuwa akitoa fedha yake kukopesha chama.
Najua Heche ni mkulima wa ufuta, atakuwa amevuna