Tetesi: Ushauri: Heche afanye kama Mbowe, aikopeshe Chadema milioni 300 ili ilipe mishahara ya miezi mitano iliyopita

Kumbe hii nayo ni mada ya kuletwa humu. Hii Taifa imezalisha vijana wa hivyo sana baada ya uhuru
 
 
M
MBOWE hela alikuwa anatoa wapi!?
 
Bila shaka wahuni wanafurahi kwa wanachoifanyia CHADEMA. Uzuri karma inafanya kazi. Aliyewafanyia wengine uhuni, Mungu ameinua wenye haki wa kumvua nguo.
 
Hana na kutokuwa na pesa sio dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…