Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Okay.. Ni wale basi wenye kile kikwapa kinachokera.. Ila kinatibikaNi kweli, ila nadhani huyo siyo ile natural smell ambayo inanuka kidogo ila haileti kero sana.
Nafikiri huyu ni wale wadada wenye jasho kali ambalo halistahimiliki!