USHAURI: House girl wangu anatoa harufu ya Jasho

Mnunulie vya kupaka kwenye vikwapa na ajitahidi kuoga na kunyoa mara kwa mara pia mnunulie na perfume ata ya bei ndogo
 
Atleast mara moja kwa week anapaka limao sehemu za mwili utasahau harufu na ni more effective than deodorant
Hakika mkuu, Ni njia eagisi zaidi, nahaina gharama, apake Kila siku akioga, ikipita wiki be aanze kupakakama ulivyoshauri
 
Kwahiyo maji ya ukoko ni effective?
 
Mkuu nadhani hizo harufu huwa unazipata wakati mnalimega tunda la katikati. Nimeligundua hilo uliposema hutaki kumpoteza, yaonekana bibie ananyumbulika sana kwa bed.

Usimsaliti mkeo abadan.
 
Faza house aaanze kukaomba utelezi polepole kataona noma kusaula kakiwa kachafu kataanza usafi tu
🤣🤣🤣 Duh, watu mna ushauri jamani!
Ama kweli jf ni kama kokoro, lolote linaletwa. Mleta uzi, kazi kwako
Au wew unasemaje si kaombe mzigo 😄
Hahahaaa🤣🤣🤣! Bila shaka itasaidia kwa kiasi flan! Ila side effect inaweza kuwa hatari zaidi.
 
Aonge na sabunibzenye marashi ya limao, pia awe ansugua kwapa Kwa limao, wakati mwingine aweke Maji ya kuoga.limao na ajisugue na Dodoki
 
Msugue na Machicha ya nazi!
 
Mnunulie roll on na mfundishe jinsi ya kuitumia.

Ila siku ukiona kikwapa kimekata, ujue faza house keshaanza kummendea.
 
Deodorant na usafi wa kuoga.
 
Wengine ni kama wana ugonjwa asee kuna mwanaume mmoja nilikuwa nae kazini yaani anatoa harufu kali sana ya jasho hata aoge vp haisaidii ,mpaka nikawa najiuliza kwanini ? Sikupata majibu kikubwa msaidie tiba.
 
Aoge na atumie deodorant ambazo ni Anti-perspirant, kampuni haijalishi ni Vaseline, Dove, Axe au yoyote tu.
Hizi zinazuia perspiration - kutokwa na jasho. Atumie akiwa ameoga na kwenye ngozi safi!
Ok thanks! Japo nishamnunulia ila sijajua km ndio hii ama laa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…