Ushauri: Idea 5 za biashara

Hakuna biashara isiyo lipa indapo uta tazamia maitaji ya eneo usika.. Na katika biashara ili ifanikiwe wewe Kama muhusika mkuu unatakiwa uwe Kama msimamizi tu, sio Kama ndio mwenye duka. Duka litakua ni la wahitaji

Kumbuka ili biashara ifanikiwe Kuna mambo mawili

1 uache mazingira na jamii ikuchagulie aina ya biashara ya kufanya. Ukicheza vizuri katika hili amini nakuambia wafanya biashara karibu wote wata lalamia biashara ngumu huku wewe una tabasam

2 Uwe na wazo lako au aina ya biashara unayo taka. Na uhakikishe unapata eneo ambalo ni rafiki na aina ya biashara utakayo iweka.
Sasa hapa uwa kuna ugum kidogo. Ukikose kidogo tu utakua msindikizaji katika nyanja za kibiashara. Utafanya biashara miaka mingi ukifukzia pesa ya kula na pango..

Mimi nitakushauri aina ya biashara endapo umesha pata frem na ukanitajia mazingira husika ya eneo Hilo
AU
Uchague aina ya biashara na nikushauri mazingira rafiki ambayo yana mchango mkubwa katika kukua kibiashara
 
Ahsante mkuu, nitakuambia ili unipatie maujanja zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba 3 ni nzur sema unahitaji location nzur, yaani population kubwa. Kama tegeta kwa ndevu, bunju shuleni etc
Sent using Jamii Forums mobile app
 
No 1 na 5 weka pamoja angalia sehemu yenye mzunguko
 
Saivi kutokana na janga hili la corona biashara ambayo itakuendea vizuri walao ni vyakula, hivyo mimi ngekushauri juu ya ununuzi wa mazao kama ufuta na mpunga!

Yani kwa mtaji wako ukicheza nao kipindi hiki cha mavuno mpaka kufikia mwezi wa nane utakuwa mbali sana na unaweza kufikisha hata mara 3 ya mtaji wako na baada ya hapo ukawa na uwanja mpana zaidi wa kuamua cha kuanza nacho kwenye hivyo vitu ulivovichagua.

Pia muda huo nna hakika shughuli nyingi zitakuwa zinaendelea kama kawaida ukilinganisha na sasa janga hili limedorosha mzunguko wa kawaida wa kifedha.
 
Fanya biashara ambayo upo confortable nayo hata usipokua na hela unaweza amka asubuhi kwenda ...pili weka nusu ya hiyo hela kwe biashara nyengine peleka bank zungusha account chukua account kwa kiwango kile kile ulicoweka fixed account itakupa nidhamu ya kuiheshimu biashara na hata mbeleni kuzidi ikuza biashara yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…