emanuel prim
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 508
- 475
Hakuna biashara isiyo lipa indapo uta tazamia maitaji ya eneo usika.. Na katika biashara ili ifanikiwe wewe Kama muhusika mkuu unatakiwa uwe Kama msimamizi tu, sio Kama ndio mwenye duka. Duka litakua ni la wahitaji
Kumbuka ili biashara ifanikiwe Kuna mambo mawili
1 uache mazingira na jamii ikuchagulie aina ya biashara ya kufanya. Ukicheza vizuri katika hili amini nakuambia wafanya biashara karibu wote wata lalamia biashara ngumu huku wewe una tabasam
2 Uwe na wazo lako au aina ya biashara unayo taka. Na uhakikishe unapata eneo ambalo ni rafiki na aina ya biashara utakayo iweka.
Sasa hapa uwa kuna ugum kidogo. Ukikose kidogo tu utakua msindikizaji katika nyanja za kibiashara. Utafanya biashara miaka mingi ukifukzia pesa ya kula na pango..
Mimi nitakushauri aina ya biashara endapo umesha pata frem na ukanitajia mazingira husika ya eneo Hilo
AU
Uchague aina ya biashara na nikushauri mazingira rafiki ambayo yana mchango mkubwa katika kukua kibiashara