Ushauri: Idris Sultan biashara itakutoa achana na uchekeshaji

Idris anapoteza muda wa Clouds TV kufanya biashara nyingine, kipindi hakina mvuto na hakichekeshi kabisa. Nadhani kuna jambo analoweza kufanya lkn si uchekeshaji.
 
Hana talent tu lakini ki malkia yuko vizuri
 
Alafu sisi ndio wachekaji, msitulazimishe tuseme tumecheka wakati hatujacheka, aelewe hivyo na kama anaona hawezi kuacha hiyo kitu basis apambane na hali take yeye ili apate ubunifu na style take yeye. Nikweli anayo haiba kubwa mbele ya hadhila lakini bado hajapata cha kufanya jukwaani.
 
Ushauri mzuri kwako,

Usipende watu waishi unavyotaka wewe, wafanya shughuli unazotaka wewe. Humjui, humlishi na wala humvishi. Pigania maisha yako yake mwachie ndiyo kaamua vile, alishawahi kukwambia kuchekesha hapati faida yeyote hadi useme hayo.
Alikwambia analala njaa kisa kuchekesha?
Alikuomba ushauri?


PAMBANA NA HALI YAKO KABLA HUJAPARAMIA YA MWINGINE
 
Kwakweli hachekeshi ata kidogo.. Et sio habari
 
ANAGANGA NJAA.MIL 500 KAIMALIZIA CHOONI,HANA JINSI NAYE AONEWE HURUMU TU KAMA DR SHIKA
 
Huyo jamaa hovyo kabisa kutoka kuwa mshindi wa milioni 500 mpaka kwenda kuwa mtangazi wa Choice FM chini Clouds Media kwa mshahara wa Kati ya Laki 7 mpaka 9 kwa mwezi, itamchukua miaka 100 kupata alichokichezea.
 
Ni kweli kabisa hana uchekeshaji wowote, hiyo sio talent yake. Ni vizuri akaelewa hivyo na ndio ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…