Ushauri ikitokea umekaa na mrembo kwa daladala nini cha kufanya?

Ushauri ikitokea umekaa na mrembo kwa daladala nini cha kufanya?

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,423
Reaction score
1,252
Helllooow
Kwa sisi tunaotumia usafiri wa umma tunakumbana na mengi. Ghafula bin vuu unakaa kwa seat Mara mrembo Naye huyo au unamkuta tayari yupo peke yake.
Hapa ndipo wengi hupitilizwa vituo au huombea foleni asifike mapema kituoni na wengine hutamani safari iwe ndefu badala ya kuishia mbezi anaona bora daladala liende mpaka chalinze
Tatizo linakuja kila mtu anamwogopa mwenzie japo umevutiwa
Sasa wanaume wenzagu ukikaa na demu mzuri anaevutia huwa unafanyaje?
1.unajifanya nunda?
2.mnapiga stories?
3.unaomba namba?
4.unamwagalia kwa kuibaiba?
5.unajifanya smart kuwa hushoboki ovyovyo japo karoho kanadunda?
Nauliza tu lakini.
 
Kawaida nikiamua kutupa voko natupa nisipoamua pia fresh inategemea mind yangu ikoje naeza eka wambuzi naeza ongea sana
Inategemea ninawaza nini
 
Watanzania mungu anatuona,,,yan tukikaa tu siti moja na mwanamk lazima atongozwe au aombwe namba,,,,
 
Ukiona umekaa naye basi unanunua diamond karanga mbili halaf unampa moja
Najua atakataa tuu kula, baada ya hapo unaanzia hapo hapo stori. Usisahau na kumlipia nauli asee
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Sio lazima kila mwanamke ukimwona umtongoze. Unaweza kumtamani lakini unaachia tu apite alolo.. Sasa kama unatumia usafiri wa umma kila siku utatongoza wangapi?
 
Asee mm ndonishaga zoea kuwazingua had kelo waganashindwa watoto wa sauti university lkn hiv vya college havinaga ujanja
 
Aah me huwa nampotezea balaaa.Ndo kwanza nafungua jf nafanya yangu.Sema atauliza tu ndo nini hiyo?si unajua wadada Kwa kupenda mitandao.Sema jf wengi hawaijui.
 
Back
Top Bottom