Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,252
Helllooow
Kwa sisi tunaotumia usafiri wa umma tunakumbana na mengi. Ghafula bin vuu unakaa kwa seat Mara mrembo Naye huyo au unamkuta tayari yupo peke yake.
Hapa ndipo wengi hupitilizwa vituo au huombea foleni asifike mapema kituoni na wengine hutamani safari iwe ndefu badala ya kuishia mbezi anaona bora daladala liende mpaka chalinze
Tatizo linakuja kila mtu anamwogopa mwenzie japo umevutiwa
Sasa wanaume wenzagu ukikaa na demu mzuri anaevutia huwa unafanyaje?
1.unajifanya nunda?
2.mnapiga stories?
3.unaomba namba?
4.unamwagalia kwa kuibaiba?
5.unajifanya smart kuwa hushoboki ovyovyo japo karoho kanadunda?
Nauliza tu lakini.