Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Inasikitisha sana kwa mtu aliyefikia cheo cha Waziri mkuu kuwa chanzo cha machafuko
Kama boss wake ndio mbinu zake za ushindi toka akiwa mbunge, nini waziri mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana kwa mtu aliyefikia cheo cha Waziri mkuu kuwa chanzo cha machafuko
Now you're coming into your senses! Tume ya Uchaguzi uwaita viongozi na kuwapa semina ya namna ya kujaza hizi fomu na kuzihakiki kabla ya kuzirudisha. CCM hufanya hayo unayoyashauri kwenye chama chenu ndio maana mnahisi wanapendelewa. Tatizo kwenu umelisema; mnahisi ni gharama na kupoteza muda. Mnahisi mkipiga kelele za tumeonewa, tumeonewa zitabadili kanuni na taratibu. Lakini najua ya Serikali za Mitaa yaliwapa somo. Wasisitize sana wazingatie ulilowashauri!Huu ni ushauri ninaoupeleka kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mh John Mnyika kwamba wagombea watakapozichukua fomu hizo kutoka kwenye ofisi za Tume ama kwa Wakurugenzi baada ya kuzijaza basi ni vema zikahakikiwa na ofisi kubwa kabisa za kanda ili kuondoa uwezekano wowote wa kukataliwa na maofisa wa Tume ambao wengi ni makada wa ccm.
Baada ya kuhakikiwa zitolewe nakala za kumbukumbu na kuhifadhiwa ili kuondoa uwezekano wa maofisa wa Tume kuongeza uchafu wao , utaratibu huu una gharama na usumbufu kidogo lakini ni muhimu kufanyika ili kuhakikisha ule mpango wa Chadema kutwaa nchi na hatimaye kuwakata minyororo ya utumwa watanzania unatimia .
CCM haina uwezo wa kushinda uchaguzi kwenye sanduku la kura , mbinu pekee wanayoweza kuitumia ni kuhujumu wagombea wa Chadema kwa kuwapora fomu baada ya kuwateka ama kukataa kupokea fomu zao kwa njia ya kishamba ya wapokeaji kukimbia ofisi zao ama kutengeneza makosa kwa kusingizia chochote kile
Tukiweza kuwadhibiti katika mambo haya hawa watu ni wepesi kuliko pamba, hawaungwi mkono na wananchi, na hata hao migambo wamechoka kutumika kudhulumu haki za raia, tunaishi nao mitaani na tunajua wanachokisema.
Mungu ibariki CHADEMA
utekaji anaosimamia Majaliwa kule Lwangwa nao tume ilitoa semina yake ?Now you're coming into your senses! Tume ya Uchaguzi uwaita viongozi na kuwapa semina ya namna ya kujaza hizi fomu na kuzihakiki kabla ya kuzirudisha. CCM hufanya hayo unayoyashauri kwenye chama chenu ndio maana mnahisi wanapendelewa. Tatizo kwenu umelisema; mnahisi ni gharama na kupoteza muda. Mnahisi mkipiga kelele za tumeonewa, tumeonewa zitabadili kanuni na taratibu. Lakini najua ya Serikali za Mitaa yaliwapa somo. Wasisitize sana wazingatie ulilowashauri!
Hakuna nyumbu mwenye uwezo wa kujibu hoja nzito. Ulifikiri ulipojibu ya Majaliwa mimi sikuwa nimejipanga? Ahahahahahahahh!huna hoja
Safari hii ni bampa kwa bampa, wezi ninyi tunakula sahani moja.Mnatia aibu Sana yaani mgombea hawezi kujaza fomu yake mpaka msaada wa chama??
Hivi mapingamizi yanawekwa na nani,NEC au wagombea? Je Kama ni wagombea,Je huwa wanajuaje kwamba Kuna makosa kwenye form ya mgombea fulani?Hoja yako imekuja baada ya kukithiri mapingamizi yanayotokana na makosa yanayofanywa na wagombea wenu makosa ya wazi ambayo ni dhahiri kwamba jamaa hawawezi kujaza hizo fomu hivyo ili kuficha hiyo aibu ukaona Chama kiwasaidie kwakuwa hawajiwezi na mtaambulia aibu kwa Mara nyingine tena.
Hitimisho hapa ni kuwa wagombea wenu hawajiwezi hata kujaza fomu tu.
Stroke lazima ikuue make najua huto amini kinachoenda kutokeaSasa hao wanataka kumuongoza Nani wakati hata fomu kujaza tu hawawezi.
Hivi mapingamizi yanawekwa na nani,NEC au wagombea? Je Kama ni wagombea,Je huwa wanajuaje kwamba Kuna makosa kwenye form ya mgombea fulani?g
Chadema wanahamasishana kujitokeza jimbo zima wasaidiene kujaza na kurudisha fomu moja tu.Hivi mapingamizi yanawekwa na nani,NEC au wagombea? Je Kama ni wagombea,Je huwa wanajuaje kwamba Kuna makosa kwenye form ya mgombea fulani?
Chama cha ajabu sana hiki.
Very good idea ,nakala zitunzwe kuepuka Jechaism.Huu ni ushauri ninaoupeleka kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mh John Mnyika kwamba wagombea watakapozichukua fomu hizo kutoka kwenye ofisi za Tume ama kwa Wakurugenzi baada ya kuzijaza basi ni vema zikahakikiwa na ofisi kubwa kabisa za kanda ili kuondoa uwezekano wowote wa kukataliwa na maofisa wa Tume ambao wengi ni makada wa ccm.