Uchaguzi 2020 Ushauri: Ili kuepuka hujuma Fomu zote za wagombea ubunge na udiwani wa CHADEMA zipitie ofisi za kanda kuhakikiwa

Now you're coming into your senses! Tume ya Uchaguzi uwaita viongozi na kuwapa semina ya namna ya kujaza hizi fomu na kuzihakiki kabla ya kuzirudisha. CCM hufanya hayo unayoyashauri kwenye chama chenu ndio maana mnahisi wanapendelewa. Tatizo kwenu umelisema; mnahisi ni gharama na kupoteza muda. Mnahisi mkipiga kelele za tumeonewa, tumeonewa zitabadili kanuni na taratibu. Lakini najua ya Serikali za Mitaa yaliwapa somo. Wasisitize sana wazingatie ulilowashauri!
 
utekaji anaosimamia Majaliwa kule Lwangwa nao tume ilitoa semina yake ?
 
Hivi mapingamizi yanawekwa na nani,NEC au wagombea? Je Kama ni wagombea,Je huwa wanajuaje kwamba Kuna makosa kwenye form ya mgombea fulani?
 
Wazo zuri mtoa mada hii nawasii chadema muitumie hakika tunahitaji ukombozi kutoka kwenu chadema tumechoka kunyongwa maake tunataka kutoka unyongeni ni yeye 2020
 
 
Chadema wanahamasishana kujitokeza jimbo zima wasaidiene kujaza na kurudisha fomu moja tu.

Chama cha ajabu sana hiki.
 
Very good idea ,nakala zitunzwe kuepuka Jechaism.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…