Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kwa sababu Mamlaka ya Uteuzi haikuamini tena na ndio maana nafasi yako akapewa mtu mwingine , Kilichotokea ni kwamba huyo aliyepewa nafasi yako ameonekana kituko , duni na hatoshi na ndio maana ametenguliwa ukarudishwa tena , hii haimaanishi wewe unafaa , jiongeze mwenyewe ndugu .
Wewe umekuwa kama mbuzi wa Shughuli , awamu iliyopita uling'olewa na kuswekwa Rumande kwa muda kutokana na tuhuma za Uhujumu uchumi , kabla ya kutolewa Jela na Rais aliyepita na kurejeshewa cheo chako , Magufuli alisema hauhusiki na tuhuma ulizopewa .
Hivi hujiulizi nani anayekuhujumu kiasi hicho na anakutakia kitu gani ? kwanini usijiokoe mwenyewe kwa kuwaachia cheo chao ? mbona kuna maisha mengine baada ya hivyo vyeo vya kidunia ambavyo ni vya kupita tu !
Ogopa sana influencers na enablers kwenye siasa. Wasije wakamfix akose pa kuchomokea.Kuna watu powerful wanataka atoke..
Bahati nzuri wananchi tumempigia kelele
Hivi Kamanda Nanyaro kwa maoni yako hili jambo likoje ?
Hivi hii situation umeielewa lakini ?Mleta mada Chadema naona sasa hivi toka Raisi Samia kaingia ghafla mumekuwa na mapenzi makubwa kwa CCM na wana CCM si muhamie tu CCM?
We unasema hivyo wakati labda wameshaongea na raisi.Kesho anarudi ofisini kuendelea na majukumu yake kama kawaidaHii ni kwa sababu Mamlaka ya Uteuzi haikuamini tena na ndio maana nafasi yako akapewa mtu mwingine , Kilichotokea ni kwamba huyo aliyepewa nafasi yako ameonekana kituko , duni na hatoshi na ndio maana ametenguliwa ukarudishwa tena , hii haimaanishi wewe unafaa , jiongeze mwenyewe ndugu .
Wewe umekuwa kama mbuzi wa Shughuli , awamu iliyopita uling'olewa na kuswekwa Rumande kwa muda kutokana na tuhuma za Uhujumu uchumi , kabla ya kutolewa Jela na Rais aliyepita na kurejeshewa cheo chako , Magufuli alisema hauhusiki na tuhuma ulizopewa .
Hivi hujiulizi nani anayekuhujumu kiasi hicho na anakutakia kitu gani ? kwanini usijiokoe mwenyewe kwa kuwaachia cheo chao ? mbona kuna maisha mengine baada ya hivyo vyeo vya kidunia ambavyo ni vya kupita tu !
Karibuni CCM musaidiani na sisi wana CCM kushauri serikali na viongozi wa serikali wa CCMHivi hii situation umeielewa lakini ?
Bashiru mwenyewe kala mshahara wa mwezi mmoja tu maji yakamwagika.Wewe ungekataa?
Asuse hela za bure? Privilege za ma CEO usipime. Ila ana gundi atakuja kuondoka Kwa aibu. Sio kwamba hafai Bali mtesi wake Yupo jikoni kabisa vinapopikwa na kupakuliwa hivyo kupindua ni ngumu.Kibongobongo ni ngumu sana hii
Swala hapa si kukataa , jambo kubwa ni kujiokoa , hebu kumbukeni yaliyompata LwajabeWewe ungekataa?
Kuna thread humu ya mtu aliyekataa uteuzi wa Magufuli kuwa Mkuu wa Wilaya, wenye guts wapo sema wewe huna.Hakuna mbongo mwenye guts za kukataa pesa. hayupo
wewe mwenyewe usingeacha
Hakuna mbongo mwenye guts za kukataa pesa. hayupo
wewe mwenyewe usingeacha
Hii ni kwa sababu Mamlaka ya Uteuzi haikuamini tena na ndio maana nafasi yako akapewa mtu mwingine , Kilichotokea ni kwamba huyo aliyepewa nafasi yako ameonekana kituko , duni na hatoshi na ndio maana ametenguliwa ukarudishwa tena , hii haimaanishi wewe unafaa , jiongeze mwenyewe ndugu .
Wewe umekuwa kama mbuzi wa Shughuli , awamu iliyopita uling'olewa na kuswekwa Rumande kwa muda kutokana na tuhuma za Uhujumu uchumi , kabla ya kutolewa Jela na Rais aliyepita na kurejeshewa cheo chako , Magufuli alisema hauhusiki na tuhuma ulizopewa .
Hivi hujiulizi nani anayekuhujumu kiasi hicho na anakutakia kitu gani ? kwanini usijiokoe mwenyewe kwa kuwaachia cheo chao ? mbona kuna maisha mengine baada ya hivyo vyeo vya kidunia ambavyo ni vya kupita tu !
............
ANGALIA VIELELEZO HIVI HAPA
View attachment 1744070
View attachment 1744072