Ushauri: Ili kulinda heshima yako Mataragio usikubali huo uteuzi wako, kataa waachie cheo chao

Mataragio siyo wa kispotispoti. Anayo CV kali. Na Iternational working experience na mshahara mkubwa. Hata TPDC sijui kama analipwa kama alivyokuwa analipwa nje ya nchi. Kurudi nyumbani kuja kuokoa jahazi la TPDC alirudi kwa heshima kwa kuwa aliombwa. Sasa sielewi mamlaka zinayumbaje? Sad
Hivi hawa wasomi wanaoacha kazi nzuri kwa Mabeberu na kurudi nchi hii wanakuwa wamelogwa ?
 
Awe mpole, yamkini ana tuhuma zilizo zibwa na Meko
Hii ni kwa sababu Mamlaka ya Uteuzi haikuamini tena na ndio maana nafasi yako akapewa mtu mwingine , Kilichotokea ni kwamba huyo aliyepewa nafasi yako ameonekana kituko , duni na hatoshi na ndio maana ametenguliwa ukarudishwa tena , hii haimaanishi wewe unafaa , jiongeze mwenyewe ndugu.

Wewe umekuwa kama mbuzi wa Shughuli , awamu iliyopita uling'olewa na kuswekwa Rumande kwa muda kutokana na tuhuma za Uhujumu uchumi , kabla ya kutolewa Jela na Rais aliyepita na kurejeshewa cheo chako , Magufuli alisema hauhusiki na tuhuma ulizopewa.

Hivi hujiulizi nani anayekuhujumu kiasi hicho na anakutakia kitu gani ? kwanini usijiokoe mwenyewe kwa kuwaachia cheo chao ? mbona kuna maisha mengine baada ya hivyo vyeo vya kidunia ambavyo ni vya kupita tu !
............

ANGALIA VIELELEZO HIVI HAPA.

View attachment 1744070

View attachment 1744072
 
Swala hapa si kukataa , jambo kubwa ni kujiokoa , hebu kumbukeni yaliyompata Lwajabe
Aombe kukutana na Rais atoe concern zake. Aombe ulinzi yasije ya Lwajabe, amueleze kuwa Kuna gang linatafuta maangamizi yake.
 
nitamshangaa kama atakubali. inaonekana kuna watu wabaya hawamtaki.
 
Ushauri mzuri , Ila kama anaweza aombe kuonana na Raisi Kwanza wayajenge kuhusu stuation anayopitia ..... Raisi akimhakikishia basi aendelee la sivyo apige chini , ni fedheha
Naunga mkono hoja. Mtu na taaluma yako huwezi kuyumbishwa kipuuzi hivi.
 
Inasikitisha sana , huyu jamaa ana familia yake lakini anadhalilishwa kizembe namna hii jamani !
Kususa hakusaidii, huu ni mwanzo mpya, hata zile nafasi zetu 19 kule kwa Ngugai, tulegeze tu misimamo! Hatuwezi kubadilisha nchi kwa kujiweka kando na kususa, alafu waingie watu wasio faa wakishaharibu tulalamike!
 
Hii ni kwa sababu Mamlaka ya Uteuzi haikuamini tena na ndio maana nafasi yako akapewa mtu mwingine , Kilichotokea ni kwamba huyo aliyepewa nafasi yako ameonekana kituko , duni na hatoshi na ndio maana ametenguliwa ukarudishwa tena , hii haimaanishi wewe unafaa , jiongeze mwenyewe ndugu.

Wewe umekuwa kama mbuzi wa Shughuli , awamu iliyopita uling'olewa na kuswekwa Rumande kwa muda kutokana na tuhuma za Uhujumu uchumi , kabla ya kutolewa Jela na Rais aliyepita na kurejeshewa cheo chako , Magufuli alisema hauhusiki na tuhuma ulizopewa.

Hivi hujiulizi nani anayekuhujumu kiasi hicho na anakutakia kitu gani ? kwanini usijiokoe mwenyewe kwa kuwaachia cheo chao ? mbona kuna maisha mengine baada ya hivyo vyeo vya kidunia ambavyo ni vya kupita tu !
............

ANGALIA VIELELEZO HIVI HAPA.

View attachment 1744070

View attachment 1744072
Bavicha bhana
 
Magufuli hajawahi kumsimamisha kazi Mataragio. Na aliyekuwa akimchimba Dr. James Mataragio amekwisha fariki pia.

Ni Jamaa wa Swala Energy maugonvi yao ya licence za Gas Blocks. Alifurahia alipo ondolewa Dr. Muhongo lakini akapambana na Mkurya Mwingine ambaye hakutaka serikali ilaliwe kwa kumtaka alipe ongezeko la kodi baada ya kaiuza Shwala Energy.

Na bahati mbaya akafariki ghafla Uarabuni na kesi ikakosa mtu wa kuisukuma ndio kesi ikasimama. Mkulu alikalia kikaango cha moto, yule rafiki yake mkubwa wanatoa viti kwenye Bustani ya Ikulu wanaongea na kucheka na huyu mfanyakazi mzuri na hadimu.

Naona Bi Mkubwa walimwambia huyu bado ana kesi imemalizika kimazabe mazabe kumuuliza AG akamwambia serikali ilitoa Nole prossegue.

Mambo ya dunia huisha Mungu anavyotaka.
 
Wewe ni miongoni mwao hao wanaomhujumu

2733542_EyMYDN8XAAEFCFU.jpeg
 
Back
Top Bottom