Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,928 Apr 5, 2021 #81 Papi Chulo said: Sio mamlaka inayumba,kuna mifisadi hiyo iko jino kwa jino,mama awe makini sana Click to expand... Sure lazima kuna watu wanataka atokee pale ili wale kwa mrija. Mh. Rais awe ngangari kabisa
Papi Chulo said: Sio mamlaka inayumba,kuna mifisadi hiyo iko jino kwa jino,mama awe makini sana Click to expand... Sure lazima kuna watu wanataka atokee pale ili wale kwa mrija. Mh. Rais awe ngangari kabisa
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,928 Apr 5, 2021 #82 Erythrocyte said: Hivi hawa wasomi wanaoacha kazi nzuri kwa Mabeberu na kurudi nchi hii wanakuwa wamelogwa ? Click to expand... Wanatii tu mamlaka ila sidhami kama wanafurahia kurudi
Erythrocyte said: Hivi hawa wasomi wanaoacha kazi nzuri kwa Mabeberu na kurudi nchi hii wanakuwa wamelogwa ? Click to expand... Wanatii tu mamlaka ila sidhami kama wanafurahia kurudi
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,928 Apr 8, 2021 #83 Papi Chulo said: Sio mamlaka inayumba,kuna mifisadi hiyo iko jino kwa jino,mama awe makini sana Click to expand... Kweli kabisa. Nilifurahi mamlaka ilishtuka mapema.
Papi Chulo said: Sio mamlaka inayumba,kuna mifisadi hiyo iko jino kwa jino,mama awe makini sana Click to expand... Kweli kabisa. Nilifurahi mamlaka ilishtuka mapema.