Ni nani alikwambia wale wa-burn CD ni I.T's personell?! Wewe I.T unaijua vizuri?! Mjifunzage vitu muelewe au muulize mpewe madini
I.T sio kitu cha kipuuzi kama mnavyokifikiria nyinyi watu wa kawaida msiotaka kujua na ku-appreciate mambo makubwa, na wala I.T's hayo mambo hayako kwenye fani yao deeply! Hizo mambo za ku-burn CD na kuuza movie kitaa mtu yoyote anaweza kufanya akijua computer basics na utundu wa kuchezea vile vi-programs vitu ambavyo hata mtoto mdogo akiwa na Computer nyumbani basically atajua kufanya hayo mambo.
I.T ni dunia nyingine kubwa sana! Futa hayo mawazo kuanzia leo.. hakunaga I.T darasa la Saba
Kama hivyo TISS, BOT, TTCL, TIGO na mashirika mengine makubwa nchini na duniani wangewasomba hao la saba wawape kazi wakapate ulaji
WACHA KABISA!