Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Unazidi kuuonesha ujinga wako na UPUMBAVU hadharani kijana... una umri gani na elimu gani kwanza tuanzie hapo?!Nyie maboyaa tuu, IT anaply nafas utumish hajaitwa interview, anapiga simu customer care kulalamika. IT gani ww
Kama ww kweli IT tafuta taarifa zangu...😆Unazidi kuuonesha ujinga wako na UPUMBAVU hadharani kijana... una umri gani na elimu gani kwanza tuanzie hapo?!
Naweza kuwa naongea na BodaBoda failure wa form four "D"
thank you mkuuYes, anapata course za UDBS kule.
We ni CHIZI bwana mdogoKama ww kweli IT tafuta taarifa zangu...😆
GREAT IDEA!Akasome Marine Engineering pale DMI atakuja kunishukuru baada ya miaka mi4
HahahahaWe ni CHIZI bwana mdogo
Ndomana nilikwambia huna ujualo, unaonekana ni mvuta bange wewe na huyo uliyomuweka DP ndo mfalme na mungu wenu wavuta bangi wote na mateja duniani
Nakazia hapaHata Electrical and Civil pia zipo njema
thanks mkuu kwa kumpa darasa nadhan amekuelewaNi nani alikwambia wale wa-burn CD ni I.T's personell?! Wewe I.T unaijua vizuri?! Mjifunzage vitu muelewe au muulize mpewe madini
I.T sio kitu cha kipuuzi kama mnavyokifikiria nyinyi watu wa kawaida msiotaka kujua na ku-appreciate mambo makubwa, na wala I.T's hayo mambo hayako kwenye fani yao deeply! Hizo mambo za ku-burn CD na kuuza movie kitaa mtu yoyote anaweza kufanya akijua computer basics na utundu wa kuchezea vile vi-programs vitu ambavyo hata mtoto mdogo akiwa na Computer nyumbani basically atajua kufanya hayo mambo.
I.T ni dunia nyingine kubwa sana! Futa hayo mawazo kuanzia leo.. hakunaga I.T darasa la Saba
Kama hivyo TISS, BOT, TTCL, TIGO na mashirika mengine makubwa nchini na duniani wangewasomba hao la saba wawape kazi wakapate ulaji
WACHA KABISA!
nmekuelewa mkuu ngoja nifuatilie kuijua kiundanAkasome Marine Engineering pale DMI atakuja kunishukuru baada ya miaka mi4
Mavijana yaliyokataa shule hayo. Yakiona wenzao wamefanikiwa wanaanza fitna na taarabu na uganga kuroga wenzao. Wanafkiri I.T na CS ni kitu rahisi na cha mchezomchezo kama kunya na kukojoa 😂😂😂🙌🏾thanks mkuu kwa kumpa darasa nadhan amekuelewa
nmekuelewa mkuu ngoja nifuatilie kuijua kiundan
1. Software Engineeringhabari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona anataman kuchukua computer science au I.T ananiomba ushaur daily bt sina uelewa kiundan kuhusu hizo kozi hivyo nahitaji msaada wenu kwa mwenye uelewa🙏🙏🙏
nachojua mm humu JF ni sehemu au platform inayoweza kutusaidia na kuongeza ufahamu wetu juu ya mambo au maswala mbalimbali sasa kejeli na matusi ya nn achen hizo mambo kuwen smart tukosoane kwa hoja na sio malumbano🙏We ni CHIZI bwana mdogo
Ndomana nilikwambia huna ujualo, unaonekana ni mvuta bange wewe na huyo uliyomuweka DP ndo mfalme na mungu wenu wavuta bangi wote na mateja duniani
nashukur kwa ushaur wako ntaufanyia kazi🙏1. Software Engineering
2. Artificial intellegence engineering
3. Biochemical Engineering
4. water Engineering
5. Geotechnical engineering
Utanikumbuka
IT nayo kubwa .. lazima awe na area of specializationHata Electrical and Civil pia zipo njema.
Lakini kama ameamua kusoma moja kati ya IT au Water supply and Sanitation, nitamshauri achukue Water supply and Sanitation
Unafikir kila aliye kuwa na ndoto au target, ni lazima iwe hivyo kama alivyo panga..Hapa ndo tunapofeli waafrika! Unasoma kwa kupewa ushauri na kuchaguliwa cha kukisoma.., kwani hukuwahi kuwa na ndoto na target kabla maishani mwako?!
Statistics Ina shida gani kwaniSasa 2 ya 12 ni ufaulu mzuri..??
Ulisoma advance kweli..?😂
Hapo competition yake hawezi kupata kozi ya maana, labda akasome statistics UDSM
Nenda kasome, soko la ajira litajibu maswali yako.Statistics Ina shida gani kwani
Sawa mkuu, shikilia msimamo wako.Hamna ataishia kufungua movies za studio,zile wanatuuzia single movie buku,na series moja buku mbili
Okay! Unamtetea sawa... nikuulize wewe maswalinachojua mm humu JF ni sehemu au platform inayoweza kutusaidia na kuongeza ufahamu wetu juu ya mambo au maswala mbalimbali sasa kejeli na matusi ya nn achen hizo mambo kuwen smart tukosoane kwa hoja na sio malumbano🙏
Kufeli nje nje ila ajira zipoStatistics Ina shida gani kwani