Ushauri ipi kozi nzuri

Nyie maboyaa tuu, IT anaply nafas utumish hajaitwa interview, anapiga simu customer care kulalamika. IT gani ww
Wapo IT wengi tu ni freelancers na wanapiga mpunga kuliko kuajiriwa so usikalili developers wanapiga mpunga sana IT ni kujiendeleza kwako na kuendana na wakati tu. Dunia imehamia huko shida yako tangu uanze ku burn CD unajiita IT.
 
Mkuu, mwambie ajisikilize mwenyewe kwanza anataka nini yaani anatamani kuwa nani au kusudi lake hapa duniani ni lipi au anajionaje then anzia hapo
 
Hii kitu sio ya kukurupukia, maokoto ni mengi lakini inahitaji uwe na passionate nayo siyo kwa kushauriwa. Mfano ufanye kazi kwenye meli kubwa za masafa mbona utagongewa sana mke au laah usioe kabisa. Sometimes mpaka 9 month in 1 month off minimum ni 4 month in mzee sio poa.
 
Wapo IT wengi tu ni freelancers na wanapiga mpunga kuliko kuajiriwa so usikalili developers wanapiga mpunga sana IT ni kujiendeleza kwako na kuendana na wakati tu. Dunia imehamia huko shida yako tangu uanze ku burn CD unajiita IT
Yaan we ndo bure kabisa, me naanzaje kujiita IT kibongo bongo
 
Duh!! Kwa hiyo div2 UDSM wanakuchukua?
Nyuma ya hapo UDSM kuna kata ndogo wanaishi vibopa, inaitwa "Changanyikeni".... Kuna chuo kinaitwa "TAKWIMU"..., ndo chuo kikubwa Afrika mashariki kwa mambo hayo. Kuanzia ngazi ya cheti mpaka Masters Degree. Wahi ukaombe nafasi au pekua mtandaoni.
 
Wapo IT wengi tu ni freelancers na wanapiga mpunga kuliko kuajiriwa so usikalili developers wanapiga mpunga sana IT ni kujiendeleza kwako na kuendana na wakati tu. Dunia imehamia huko shida yako tangu uanze ku burn CD unajiita IT.
Usijibizane na huyo kijana.. nafkiri ana uwalakini kidogo
 
Umemaliza mkuu taaluma ziheshimiwe Mfugaji amweshimu Mkulima tusitafutane ubaya ICT & IT iheshimiwe km inavyoheshimiwa Engineering la Saba B wasikutoe kwenye reli tunajua la Saba B akiambiwa aunde mfumo mdogo hata wa calculator tu kwa kutumia Visual studio au NetBean au Android Studio au WPF hawezi ataishia kucheza na VLC & Virtual DJ's sababu ameidownload FileHorse.com / Free Software Download for Windows au atajipigapiga ajue FL Studio atengeneze beats na Adobe Photoshop atengeneze posters & cover basi bila hata kutambua kwamba alieiunda hio website na alieunda hio mifumo na applications anazozitumia alikaa darasani akasomea masuala ya ICT & IT iheshimiwe CS isidharauliwe ndio imemfanya Zuckerberg kutengeneza JF B kwa jeuri na kuiita Threads - A Slack Replacement Designed for Makers
✍️
 
Nimeku-follow na kuku-follow!!!🙌🏾🙌🏾🙌🏾👊🏾
 
Kwanza muulize yeye binafsi anapenda nini na anataka kuwa nani katika maisha yake.
Pia tizama kwenye kampuni ya familia yenu inajihusisha na mambo gani hasa ili akasomee hayo ajeapush hiyo family business to another level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…