Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

THE CONSTRUCTION CHALLENGES ASWAN HIGH DAM, EGYPT

View: https://m.youtube.com/watch?v=0VaCxQnrAFY
The designing of the Aswan High Dam faced many difficulties, for it has to be constructed on a pervious foundation in the lake of the existing Aswan Dam.

The whole extent of the main dam foundation will be covered with a layer of compacted dune sand about 82 feet deep.

The rockfill above this layer will have a clay core made of Nile silt. The dam will be protected against seepage by two lines of defence, a horizontal impervious blanket in the upstream part and a vertical grout curtain descending in the pervious bed of the river to a depth of 690 feet until it strikes natural bed rock.

This grout curtain will plug the voids in the layers of sedimentary materials underneath the dam.


Updates JULIUS NYERERE HYDRO POWER PROJECT JNHPP


View: https://m.youtube.com/watch?v=BOZ5qJEOvYs
 
Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.

Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote.

Nashauri kamati huru ya Bunge iundwe kuchunguza sakata hili huku wahusika wote wakiwa nje ya ofisi za umma.

Ikiwezekana kamati hiyo huru ihusishe wataalamu Kutoka nje ya Serikali na nje ya nchi kupata UKWELI Ili kupendekeza solution sahihi.

Mkopo hata nusu ya robo haujalipika, na Mwekezaji aliongeza gharama zaidi ya Trilioni 1.5 zaidi ya Gharama halisi alizosaini mkataba na Bado tunaona mapungufu haya hata kabla ya uzalishaji kuanza.

Tusipokuwa serious katika masuala muhimu ya nchi, tukiruhusu kuoneana Aibu, kamwe hatutafanikiwa lolote .

NB: Tunapojadili Mada hii inayogusa maslah mapana ya nchi, tuepuke udini, ubinafsi, uchama nk nk, Uzalendo uwe Dira yetu.


Nawasilisha.🙏

Amen.
Hizo nyufa ni hujuma toka uvccm ili waisingizie Chadema
 
Hizo nyufa ni hujuma toka uvccm ili waisingizie Chadema
CDM haijengi bwawa ingawa ni Kweli ilipinga ujenzi wa Bwawa, ila Watanzania tumewasamehe.

Tunahitaji vyama vyenye kuleta constructive criticism!!
 
Baada ya Bodi nzima kuvunjwa,

Ni muhimu Bodi mpya kuchunguza nyufa zilizoripotiwa katika hatua za mwisho kuwasha umeme.
 
Back
Top Bottom