FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kwanza huelewi unachokiongea.Nakupa siku nzima tuletee jina la ‘project manager’ wa huo mradi kutoka team ya TANESCO.
Achilia mbali wataalamu wengine waliopo kwenye team yake.
Kwanini "project manager" awe wa Tanesco? Toka lini 'client anakuwa na "Project Manager"? Project manager ni mtu wa mkandarasi. Client anaweka "Consultants kutegemea na mradi ulivyo, "main contractor" ambae ni Arab Contractors anaweza kuwa yeye ndiye Consultant pia".
Watanzania mnasikitisha sana kwa ujinga wa kujifanya mnajuwa kumbe hamjuwi. Soma:
Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti. Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kebehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa. Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote...
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?