Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

Wakulaumiwa n I mwendazake, tayaribkylikuwa na dizaini nanilikuwa Wabrazil waanze kulijenga, yeye alivyoingia akabadili mambo kwa kukurupuka na kujimwambafai.

Ni hayo hayo kwa SGR, ilikuwa tayari Wachina waanze kazi.

Lakini kiufundi inarekebIshika vizuro tu, sema gharama na muda wa kumalizika vinaongezeka.

Cheap is expensive.
Kwani dizaini inayotumika inaruhusu kuwepo na nyufa?
 
Yupo Hadi sasa wizara ya Mambo ya nje kama vile hakipo kilichotokea.

Kuna mdau alisema kuteuliwa Biteko ni kuangushiwa jumba bovu, naanza kuliona,

Maana Badala ya kujiuliza Hali hiyo inefikaje hapo,

Anageuka mshauri wa kuziba nyufa.
Nyufa siyo tu hazitakiwi kuonekana bali hata kutajwa katika bwawa kubwa na jipya, kwani madhara yake ni makubwa mno kuanzia maisha ya watu, viumbe wengine, mazingira na kiuchumi.

Hata hivyo, ujenzi unaokabiliwa na msukumo wa kisiasa zaidi kuliko utaalamu, lolote laweza kutokea.
Kwanini isiwe ya makambako
 
Simkatai mtu. Nawajuwa Wamisri kwa pesa, kuliko wachaga hao. Tulilisema zamani.

Hapo lazima zitutoke tukitaka tusitake.

Point yangu ni, nchi haiendeshwi kwa kujimwambafai.
Ila inaendeshwa Kwa kuziba masikio
 
Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.

Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote.

Nashauri kamati huru ya Bunge iundwe kuchunguza sakata hili huku wahusika wote wakiwa nje ya ofisi za umma.

Ikiwezekana kamati hiyo huru ihusishe wataalamu Kutoka nje ya Serikali na nje ya nchi kupata UKWELI Ili kupendekeza solution sahihi.

Mkopo hata nusu ya robo haujalipika, na Mwekezaji aliongeza gharama zaidi ya Trilioni 1.5 zaidi ya Gharama halisi alizosaini mkataba na Bado tunaona mapungufu haya hata kabla ya uzalishaji kuanza.

Tusipokuwa serious katika masuala muhimu ya nchi, tukiruhusu kuoneana Aibu, kamwe hatutafanikiwa lolote .

NB: Tunapojadili Mada hii inayogusa maslah mapana ya nchi, tuepuke udini, ubinafsi, uchama nk nk, Uzalendo uwe Dira yetu.


Nawasilisha.[emoji120]

Amen.
Unaota mchana wewe! Nani afanye uchunguzi kumchunguza nani? Kwamba, shetani-ibilisi amchunguze shetani-ibilisi mwenzie; Ili iweje?
Eti Bunge! Bunge hili hili la akina musukuma, lusinde, mkumbo, waitara, and the like?
Acha waifanye Nchi wanavyoona wao, tunafanyaje sasa!
 
Ishu ni kwamba ujenzi unaendelea, mkandarasi haja- handover mradi, maana yake anayoo nafasi ya kurekebisha kabla ya mradi kuisha na hicho ni kitu Cha kawaida kwenye miradi ya ujenzi,
Lakini kelele zinazopigwa as if bwawa ndo limeharibika na mradi wote ni hasara,
Hii inaonesha uelewa wa watu kwenye mambo ya ujenzi.
Uelewa tangu kwa mtoa maagizo mpaka anaedae iundwe tume ni zero. Waziri kageuka kuwa msimamizi wa mradi mshauri.
 
Consultant mmojawapo wa huo mradi, sijui ni Tanroads... Uzoefu wa usimamizi wa Barabara/ madaraja Vs mabwawa, wapi na wapi...sie macho yetu...
Mkuu wa TANESCO ana taaluma gani? Sijawahi kusikia akitambulishwa kama mhandisi.
 



No research no right to speak.

Nawashauri tumieni muda kidogo kufanya tafiti nyepesi ya kimtandao "simple internet research" kabla ya kuja kudanganyana. Nimeitazama hiyo video sijaona "concern" yoyote ya msingi iiliyooneshwa na engineer anaetowa maelezo wala waziri Biteko. Au tunasikiliza vitu tofauti?

Kuna wanaoonesha wamelishika neno "nyufa" na hawajali hizo nyufa ziko wapi. Nyufa zinazoongelewa hazipigiki picha kama ule uharo uliosambazwa.

Yaani Watanzania mmeshindwa kuelewa maana ya nyufa za kwenye mwamba zinazofanyiwa "grouting" ambazo engineer anazielezea hapo. Hizo kwa macho hazionekani, huwa kwa siku hizi zinaonekana kwa vifaa maalum au vipimo maalum, mradi hakuna nyufa kwenye "diaphragm walls" silioni tatizo.

Huo unaoongelewa kwenye hiyo video ni uboreshaji wa kawaida sana kwenye ujenzi, kama vifaa vilivyowekwa vimeonesha "abnormality".

Mara nyingi kutokana na vipimo vya awali vya mwamba unaweza kuweka grouting kwenye "design" au ikaamuliwa kuwa "grouting" itafanyika au isifanyike baada ya kuwepo na "load" kwenye bwawa. Kwa ujenzi na vifaa vya siku hizi Uwepo au usiwepo, mara nyingi au mara zote hufanyika ujenzi ukifikia stage fulani.

Hilo mbona ni jambo la kawaida kwenye miradi yoyote ya ujenzi mkubwa. Soma:


 
Uelewa tangu kwa mtoa maagizo mpaka anaedae iundwe tume ni zero. Waziri kageuka kuwa msimamizi wa mradi mshauri.
Waziri kaenda kukaguwa mradi baada kuwa waziri wa nishati, tatizo nini?
 
No research no right to speak.

Nawashauri tumieni muda kidogo kufanya tafiti nyepesi ya kimtandao "simple internet research" kabla ya kuja kudanganyana. Nimeitaama hiyo video sijaona "concern" yoyote ya masingi iiliyooneshwa na engoineer anaetowa maelezo wala waziri biteko. Au tunasikiliza vitu tofauti?

Kuna wanaonesha wamelishika neno "nyufa" na hawajali hizo nyufa ziko wapi. Nyufa zinazoongelewa hazipigiki picha kama ule uharo uliosambazwa.

Yaani Watanzania mmeshindwa kuelewa maana ya nyufa za kwenye mwamba zinazofanyiwa "grouting" ambazo engineer anazielezea hapo. Hizo kwa macho hazionekani, huwa kwa siku hizi zinaonekana kwa vifaa maalum au vipomo maalum, mradi hakuna nyufa kwenye "diaphragm walls" silioni tatizo.

Huo unaoongelewa kwenye hiyo video ni uboreshaji wa kawaida sana kwenye ujenzi, kama vifaa vilivyowekwa vimeonesha "abnormality".

Mara nyingi kutokana na vipimo vya awali vya mwamba unaweza kuweka grouting kwenye "design" au ikaamuliwa kuwa "grouting" itafanyika au isifanyike baada ya kuwepo na "load" kwenye bwawa. Kwa ujenzi na vifaa vya siku hizi Uwepo au usiwepo, mara nyingi au mara zote hufanyika ujenzi ukifikia stage fulani.

Hilo mbona ni jambo la kawaida kwenye miradi yoyote ya ujenzi mkubwa. Soma:


TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa nenda kasome #99 kwenye hiyo mada.
Kwenye vichwa vyao team ya wataalamu inayosimamia mradi ni kila mfanyakazi wa TANESCO aliyeko site waliempeleka huko kupata uzoefu wa hiyo miradi.

Pili obvious contractor awezi ajiri kila mtu kutoka nje ya nchi so obvious kutakuwa na engineers wa TANESCO kwenye kazi za kila siku.

Team ya kitaalamu ina organisation structure yake mahususi wa mradi ambayo TANESCO imeiunda kutokana na skills mbali mbali. Na inaongozwa na project manager anaefahamika ambae wahusika waliochini yake wana report kwake.

Wao tazama hata viongozi wanapoenda tembelea mradi, yeyote alie-site mradi mfanyakazi wa TANESCO anageuka msemaji siku hiyo clearly hakuna team pale; otherwise project manager ndio angekuwa mtu wa kutoa ufafanuzi na anafahamika.

Hakikosena project manager siku hiyo, walau heads husika wa chini yake kwenye organisation structure kama ni issue za ujenzi basi designing/quality manager wa mradi.

Ni wazi hakuna team rasmi site based na waongeaji luluki wanaojitokeza kila siku.

Halafu issue sio nyufa za kuta, issue ni uwezo wa maji over time kuweza pita chini ‘dam wall’ na kuufanya ukuta usiwe stable. Sasa hivi ndio wamestuka wanajenga support ya chini ya kuta kuzuia maji yasiweze penyevchini. Sasa hiyo kazi ilitakiwa kufanyika kabla ya kujaza maji knowing how weak the below surface (that’s why people learn fluid mechanics) apparently hayupo huyo mtaalamu kwenye team ya usimamizi kwenye ujenzi wa bwawa.

Halafu unasema mna team imara, ni watu wanaojifunza huo ujenzi tu huko, or else hayo ni makosa makubwa sana yanayotakana na uelewa mdogo wa usimamizi; inaonekana baada ya Mwarabu kulipua kazi huruma ukamjia na kuona umuhimu wa kuwekewa ukuta nguzo zaidi chini ya sakafu.

Management ya TANESCO imejaa watu wanaoropoka hawajui hata issue za mradi wao wenyewe.
Umeuliza kasema wapi hizo habari nimekuletea source. That’s about it, I don’t need your lecture.
 
Sijakuelewa point yako, unaongolea watu badala ya uzushi unaosambazwa.
Pitia mada husika usome statement ya TANESCO wanadai kuna team ya usimamizi imara kwenye mradi.

Hiyo post ndio ilikuwa ina address uelewa mdogo on what constitute a project management team.

Na baadae nikaongezea hayo mambo yako ya dam wall stability ndio issue sio nyufa za kuta, kama wanavyojibu.

Why do you think hata kwenye mada hii #28 nikaelezea umuhimu wa kuwa na fluid mechanics engineer kwenye team ya usimamizi.

Hiyo task sio ya sasa, inafanywa kabla ya kujaza bwawa.

👋
 
Pitia mada husika usome statement ya TANESCO wanadai kuna team ya usimamizi imara kwenye mradi.

Hiyo post ndio ilikuwa ina address uelewa mdogo on what constitute a project management team.

Na baadae nikaongezea hayo mambo yako ya dam wall stability ndio issue sio nyufa za kuta, kama wanavyojibu.

Why do you think hata kwenye mada hii #28 nikaelezea umuhimu wa kuwa na fluid mechanics engineer kwenye team ya usimamizi.

Hiyo task sio ya sasa, inafanywa kabla ya kujaza bwawa.

👋
Wapo kila aiana ya wataalam, usifikiri hakuna mkandarasi waa maana au "consultants" wa maana.

Tanesco ni mteja, ana haki ya kutazama kila kitu kwa mtazamo wake, na yeye kaajiri wataalam "consultants", haya mambo hayaendi kienyeji kama yanavyoletwa hapa na wataalam" wa uzushi wa mitandao.
 
Wapo kila aiana ya wataalam, usifikiri hakuna mkandarasi waa maana au "consultants" wa maana.

Tanesco ni mteja, ana haki ya kutazama kila kitu kwa mtazamo wake, na yeye kaajiri wataalam "consultants" haya mambo hayaendi kienyeji kama yanavyoletwa hapa na wataalam" wa uzushi wa mitandao.
Nakupa siku nzima tuletee jina la ‘project manager’ wa huo mradi kutoka team ya TANESCO.

Achilia mbali wataalamu wengine waliopo kwenye team yake.
 
Nashauri walete wataalamu wa Ethiopia ingawa wengine wataponda ila wao pia wana Dam tena ni kubwa sana
Mradi wao umegharimu $5 billion
 
Back
Top Bottom