Ushauri: Jamani nimetendwa na mpenzi wangu

Ushauri: Jamani nimetendwa na mpenzi wangu

Mshukuru amekwambia ukweli,sasa rudi shule soma kwa bidii ili uje uwe na pesa,na wewe uwena jibu lakumpa,mwanamme kweli hajifungiii ndani anapambana...
 
Hii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na msichana niliyemtoa bikra, anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake.

Roho inauma sana sina raha wala amani, wiki nzima nipo ndani mawazo mengi kila nikijaribu kusahau nashindwa halafu kesho naenda chuo full mawazo tu.kutendwa kunauma sana.

Naombeni ushauru jamani niweze kuishinda hii hali.

acha kulialia sasa c utafute pesa km huna
 
Kijana tafuta Pesa wataiona thaman yako ,mwanaume Pesa bila Pesa familia italala njaa
 
Kutendwa mbona raha sana, fanya kushushia na superletter.
 
Dogo alikuwa na bikra feki, kidogo anajifanya Fundi wa kuruka majoka. Huyo kahaba mzoefu
 
Komaa na shule dogo vingine vipo tu utavikuta.
 
Kwani kumtoa bikra ni lazima akupende? Huyo hakupendi, tulia utapata atakayekupenda na pengine aliyetolewa bikra na mwanaume asiyempenda!
 
Huyo Ndie Kakupa Live Na Atakufanya Ujibidishe Katika Kutafuta Pesa Ili Ulete Heshma
 
Back
Top Bottom