Ushauri Jamani on App Advertising

Ushauri Jamani on App Advertising

Duuh! ndo nimeanza kukuelewa. [emoji26]
Sure, hapo kwenye Monetization sikumaliza pua, kwa Tz most App zinalenga Traffic na kuingiza pesa kwa matngazo when it slcome to paying users hio ni vita nyengine.

Watanzania hawana mtindo wa kulipia online App, hawapo tayari na walio tayari hawana pesa so kulenga Paying Users unahitaji uwe very trick
1/Service iwe real basic(muhimu) au inajiuza kabla ya uwepo wa App
2/Bei iwe ndogo sana kwa Mwezi kihasi mtu anatoa hata jobless bila kujiuliza technically 1000 mpaka 2000...Idea nzima kulenga watu wengi (Big Volume).

Mange kimambi mpaka mtu anaweza lipia sio safari iliyo anza leo ana authority kubwa, Brand kubwa Sanaa aliyotengeneza miaka na miaka.

Kwenye Downloads kufika download 100K sio rahisi hata kidogo hao Yanga na Simba wakubwa hio Download walifanya kazi kuipata.

Ushauri wangu fanya hivi
1/Fanya research ya changamoto inayosumbua sana yaani Pain Point Mfano:- For me Ajira na Mahusino, watu wanatafuta sana wapenzi (Single na upweke ni pain point)

2/Anza build Audiences kupitia MVP, njia ambayo unaweza tatua tatizo hilo kwa mitandao ya kijamii mfano kwenye ajira unaweza anzisha magrupu ya kuunganisha wapenzi walio single WhatsApp, FB, IG na X tumia kutangaza manual na online ADDS

3/Fund Rising, huku ukiwa una push MVP yako fanya kazi zako, ajira, vibaru nk kupata pesa. Pesa ndogo wekeza kwenye matangazo ya MVP nyengine save use kumlipa Developer au kama wewe developer safi.

4/Develop And tapping your Audiance, ukishatengeneza App unachofanya ni kuwapa link tu Audiences wako kwenye MVP ndio first users wako, hapo utawawekea na malipo ya mwezi ambayo 2000 watalipa kwasababu tiali una authority behind, uliwapa huduma sana kabla ya App.

5/Full Marketing
_Go online Ads full
_Use first users as Marketing

6/Scale Up

Pain point problems yoyote ukifuata hizo steps lazima utoboe hio itachukua mwaka mzima ku-build.
 
Thanks I Got U
 
Kupata downloads laki moja kwenye app siyo mchezo wala rahisi, hata iwe bure. Ushukuru sana ukipata 5000. Pia wanaweza install watu 100 na asilipie mtu au alipie mmoja. Usitupe hiyo laki tano. Lakini kama utaendelea fanya kutangaza facebook na instagram. Hiyo laki tano unawezapata installs 3,000.
 
Naumeongea uhalisia sio imagination world [emoji109]
 
Hii imegoma mkuu

Screenshot_20240130_195347_Google Play Store.jpg
 
Dont use your hard cash, kama ni promo hata hapa ushafanya promo...; sijajua App yako inakidhi gap / need ipi ila katika haya mambo making money inaweza kuwa hit and miss..., wengine target yao sio kutengeneza money through the actual App bali ni kupata watu / community (and not necessarily the unpaid low earning communities in third world countries) na baada ya hapo wanauza App yao kwa other Giants...

All in all do what you like hata kama isipokufaa kwa Faranga itakufaa kwa Faraja (kwamba I made something to cater for a certain need) and that need sio kuwa a Second Youtube au Youtube ya Tanzania (kama kuna the original Youtube kwanini mtu achague yako) ? And the cost of Hosting Videos for Free for Customers sio Petty Cash its take a Serious amount of Resources which will break your family wealthy let alone your Bank Account....
 
Back
Top Bottom