Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Sure, hapo kwenye Monetization sikumaliza pua, kwa Tz most App zinalenga Traffic na kuingiza pesa kwa matngazo when it slcome to paying users hio ni vita nyengine.Duuh! ndo nimeanza kukuelewa. [emoji26]
Watanzania hawana mtindo wa kulipia online App, hawapo tayari na walio tayari hawana pesa so kulenga Paying Users unahitaji uwe very trick
1/Service iwe real basic(muhimu) au inajiuza kabla ya uwepo wa App
2/Bei iwe ndogo sana kwa Mwezi kihasi mtu anatoa hata jobless bila kujiuliza technically 1000 mpaka 2000...Idea nzima kulenga watu wengi (Big Volume).
Mange kimambi mpaka mtu anaweza lipia sio safari iliyo anza leo ana authority kubwa, Brand kubwa Sanaa aliyotengeneza miaka na miaka.
Kwenye Downloads kufika download 100K sio rahisi hata kidogo hao Yanga na Simba wakubwa hio Download walifanya kazi kuipata.
Ushauri wangu fanya hivi
1/Fanya research ya changamoto inayosumbua sana yaani Pain Point Mfano:- For me Ajira na Mahusino, watu wanatafuta sana wapenzi (Single na upweke ni pain point)
2/Anza build Audiences kupitia MVP, njia ambayo unaweza tatua tatizo hilo kwa mitandao ya kijamii mfano kwenye ajira unaweza anzisha magrupu ya kuunganisha wapenzi walio single WhatsApp, FB, IG na X tumia kutangaza manual na online ADDS
3/Fund Rising, huku ukiwa una push MVP yako fanya kazi zako, ajira, vibaru nk kupata pesa. Pesa ndogo wekeza kwenye matangazo ya MVP nyengine save use kumlipa Developer au kama wewe developer safi.
4/Develop And tapping your Audiance, ukishatengeneza App unachofanya ni kuwapa link tu Audiences wako kwenye MVP ndio first users wako, hapo utawawekea na malipo ya mwezi ambayo 2000 watalipa kwasababu tiali una authority behind, uliwapa huduma sana kabla ya App.
5/Full Marketing
_Go online Ads full
_Use first users as Marketing
6/Scale Up
Pain point problems yoyote ukifuata hizo steps lazima utoboe hio itachukua mwaka mzima ku-build.