10k-12k/mweziMkuu kwa mfano umeweka Milioni 1 huko UTT, mwisho wa mwezi wanaweza kukupatia mgao kiasi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
10k-12k/mweziMkuu kwa mfano umeweka Milioni 1 huko UTT, mwisho wa mwezi wanaweza kukupatia mgao kiasi gani?
Mama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.
Ushauri please
Mkuu hiyo ni kwa mwaka siyo mwezi. Kwa mwezi ni kama elfu 10000-12000100k-120k/mwezi
Ukiweka Tax, fees na inflation ya zaidi ya 5% kuna kitu kinabaki kweliKanunue UTT liquid fund utanishukuru
Ukiongeza Taxes, fees, unpredictable inflation ya 5-10%, shillings free fall, nafikiri at the end of the year ni net negativeUTT vipande ni 12% na kila mwezi anapata cash 1M yake wakati hiyo million 100 ipo intact. Kujenga nyumba ni Upuuzi maana hata siku moja hiyo hela hai rudi. Ukijenga nyumba kila baada ya miaka 5 lazima utumie 20% uliyotumia kuikarabati. Kujenga nyumba ya kupanga ni kujiletea sonona. Ni hayo
Una experience ya masuala haya? Au ni kusoma vitabuni! Nyumba yangu ya kwanza niliijenga mwaka 1980Ukiongeza Taxes, fees, unpredictable inflation ya 5-10%, shillings free fall, nafikiri at the end of the year ni net negative
Apige mahesabu kwamba akijenga nyumba za kupanga kwa mwaka ataingiza sh ngapi. Kisha aangalie hiyo riba ya asilimia 7 ni sh ngapi kwa mwaka. Kisha alinganishe hizo faida mbili ni ipi inamlipa zaidi kisha aifuate iyo itakayomlipa zaidi.. very simple mathematics. Ila kwa ushauri ajenge tu nyumba itamlipa zaidi...Mama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.
Ushauri please
Naunga mkonyo, mkono hoja!Aweke fixed, kama tayari ana nyumba ya kuishi.
Afikirie pia kuchukua gvt bond za BOT return yake ni kubwa zaidi.
Siku zote ukitaka kufanya jambo tanguliza nia nzuri kwanza kwa jambo hilo mkuu Ache bi mkubwa amalizie uzee wake vzuri kuna maisha mengine baada ya hayaAkiweka mahala penye Malaya wengi atajuta kuajiriwa maisha yake yote
Unateseka ukiwa wapi MkuuHivi mburula nao wanadai consultation fee?
Angalie unavyo danganya watu, kaweke hio 1M upate 120,000 Kwa mwezi, ....return ya 120,000 ni Kwa mwaka mzima sio Kwa meezi100k-120k/mwezi
Inategemea, kama ulijenga masaki au mikocheni leo ungeuza kwa bilioni, ila ungenunua hizo bonds za bot au fixed rates leo usingekuwa na kituUna experience ya masuala haya? Au ni kusoma vitabuni! Nyumba yangu ya kwanza niliijenga mwaka 1980
Mama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.
Ushauri please
[emoji849][emoji849][emoji849]Kama elfu 70 na point
Haya taja unataka kiasi kwa hii consultation?Angalie unavyo danganya watu, kaweke hio 1M upate 120,000 Kwa mwezi, ....return ya 120,000 ni Kwa mwaka mzima sio Kwa meezi
Sent from my moto g power using JamiiForums mobile app