Ushauri: Je, ajenge nyumba au aweke pesa fixed deposit CRDB kwa riba ya 7%?

Mama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.

Ushauri please

Kama hakujenga ujanani asijidanganye kujenga uzeeni!! Wekeni fixed + pensheni atapata fungu zuri sana la kuendesha maisha yaliyobaki.
 
Ukiongeza Taxes, fees, unpredictable inflation ya 5-10%, shillings free fall, nafikiri at the end of the year ni net negative
 
Ukiongeza Taxes, fees, unpredictable inflation ya 5-10%, shillings free fall, nafikiri at the end of the year ni net negative
Una experience ya masuala haya? Au ni kusoma vitabuni! Nyumba yangu ya kwanza niliijenga mwaka 1980
 
Mama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.

Ushauri please
Apige mahesabu kwamba akijenga nyumba za kupanga kwa mwaka ataingiza sh ngapi. Kisha aangalie hiyo riba ya asilimia 7 ni sh ngapi kwa mwaka. Kisha alinganishe hizo faida mbili ni ipi inamlipa zaidi kisha aifuate iyo itakayomlipa zaidi.. very simple mathematics. Ila kwa ushauri ajenge tu nyumba itamlipa zaidi...
 
Akiweka mahala penye Malaya wengi atajuta kuajiriwa maisha yake yote
Siku zote ukitaka kufanya jambo tanguliza nia nzuri kwanza kwa jambo hilo mkuu Ache bi mkubwa amalizie uzee wake vzuri kuna maisha mengine baada ya haya
 
Una experience ya masuala haya? Au ni kusoma vitabuni! Nyumba yangu ya kwanza niliijenga mwaka 1980
Inategemea, kama ulijenga masaki au mikocheni leo ungeuza kwa bilioni, ila ungenunua hizo bonds za bot au fixed rates leo usingekuwa na kitu
 
Mama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.

Ushauri please

Bond za crdb bank interest kama ni 7% ni ndogo bora UTT inacheza kati ya 9% hadi 10%

So aidha anunue direct bond za govt gawio atapata mara mbili kwa mwaka kama
Nataka gawio la kila mwez bora anunue bonds za UTT.. na uzur sio fixed akitaka pesa yake mda wowote anaipata na anaweza kupunguza pia ku top up mda wowote..

Mwambie anunue govt bond za 10+ years zinakuwa na return kati ya 10% au 11% au hizo za UTT zenye return niliotaja hapo juu kisha hiyo bond achukulie mkopo ambao marejesho ya at least 4yrs to 6 years

hiyo pesa ajengee hizo nyumba za kupangisha za gharama nafuu baada ya miaka 4 atakuwa anaendelea kupata gawio la bond kila baada ya miezi sita na pia atakuwa anakula kodi..

kama kachukua govt bond miaka 10 au aliowekeza ikiisha anapata 100m anainunulia tena bonds.. and the circle start all over again

Kama aliwekeza UTT baada ya 10years hatakuwa tena na 100m atakuwa na zaidi .. so gawio lake la mwez Linakuja kuwa 1m +
 
kama tayari ana kiwanja kwny prime area ambacho akijenga nyumba itampa kodi angalau 1m per month basi ajenge. Otherwise aweke fixed deposit though kwa 7% rate hawez pata laki7 kwa mwez sana sana 580,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…